Kuna single mother mwingine huko anajifikiria kuandika Uzi wa kutafuta mwenza
 
Defending your nature!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji870][emoji870][emoji870]
 
Acha umbea kama kitambi anaishia safar moja Dada anaishije mm mwenyew Nina x Wangu kaolewa lakn nikimuhitaj nampata kwa wakat anazuga anamleta mtoto kwa bibi yake namchukulia kwa bi mkubwa tunazuga tunaenda kumfanyia shooping dogo
 
Kosa kubwa hili hapa👇👇.
Swaiba yangu wa karibu sana anaishi Mombasa but familia yake ipo Dar huwa anakuja once in a month!
"fimbo ya mbali haiuwi nyoka" Mwanamke anapenda ukaribu zaidi kuliko hata ngono yenyewe. Ngono ni ziada tu. Sa kama umeoa hata ka ni bilionea kama Mo utapigiwa tu na wauza mkaa kama upo mbali nae
 
Hofu ya Mungu muhimu sana kwenye maisha ya sasa....
 

Tofauti yako na hao uliowaita jobless ni kufuatilia nyendo za watu
 

Ouch! Somebody got a panic attack here, lol

You look pathetic Gobermouch.
 
Kabisaa mwanaume mzima tena rijali unakua buzzy kufatilia maisha ya ndoa ya rafiki yako lol? Heeeeh mbna mapya haya mweeeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Una uhakika gani kama huyu mleta mada ni mwanaume Rijali mkuu?
 
Hata asiye single mother huweza kurudiana na ex tu.

Haya mapenzi hayatabiriki, sababu kubwa nadhani ni binaadamu kutokuwa static linapokuja suala la hisia za kimapenzi.

Mapenzi huanza , hukolea, hushuka na hatimaye huisha, nothing lasts forever.
Oh! Usicheze na Singeli wewe!
 
Una uhakika gani kama huyu mleta mada ni mwanaume Rijali mkuu?
Sasa si kasema mwenyewe, na anavo shadadia kutooa single mothers, nkajua n shababy tena mwenye uchungu na na wanawake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Dunia pana lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…