Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kuna single mother mwingine huko anajifikiria kuandika Uzi wa kutafuta mwenza
 
Mi nashauri hata usimwambie kausha tu ipo siku mambo yatajulikana tu. Afu huo ushauri kwa wanaume wenzio sidhani kama ni sawa single moms wengi tu mbona wanajiheshimu huku mitaani mwetu why wasiolewe?, akikosea 1 si wote bana, kuna ambao si single moms ila ndiyo CV zao chafu bora hata hao. Wanaume oeni mtu unayependana naye na mmechunguzana vya kutosha whether single moms or siyo mtadumu tu[emoji120]
Defending your nature!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nashauri hata usimwambie kausha tu ipo siku mambo yatajulikana tu. Afu huo ushauri kwa wanaume wenzio sidhani kama ni sawa single moms wengi tu mbona wanajiheshimu huku mitaani mwetu why wasiolewe?, akikosea 1 si wote bana, kuna ambao si single moms ila ndiyo CV zao chafu bora hata hao. Wanaume oeni mtu unayependana naye na mmechunguzana vya kutosha whether single moms or siyo mtadumu tu[emoji120]
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji870][emoji870][emoji870]
 
Acha umbea kama kitambi anaishia safar moja Dada anaishije mm mwenyew Nina x Wangu kaolewa lakn nikimuhitaj nampata kwa wakat anazuga anamleta mtoto kwa bibi yake namchukulia kwa bi mkubwa tunazuga tunaenda kumfanyia shooping dogo
 
Kosa kubwa hili hapa👇👇.
Swaiba yangu wa karibu sana anaishi Mombasa but familia yake ipo Dar huwa anakuja once in a month!
"fimbo ya mbali haiuwi nyoka" Mwanamke anapenda ukaribu zaidi kuliko hata ngono yenyewe. Ngono ni ziada tu. Sa kama umeoa hata ka ni bilionea kama Mo utapigiwa tu na wauza mkaa kama upo mbali nae
 
Una muda sana aisee.....

Na kwa vile huyu mmoja yuko hivi, ina maana single parents wote wako hivyo? Ninaye rafiki yangu kaoa single parent tena wa watoto wawili wote na baba tofauti lakini ndiyo role model wangu wa ndoa yenye furaha, amani na maelewano. Ni power couple moja matata sana!

Umalaya ni tabia ya mtu na sidhani kama kuna causal relationship kati ya kuwa single parent na umalaya. Wewe oa ambaye siyo single parent lakini kama ni kuchapiwa utachapiwa tu!
Hofu ya Mungu muhimu sana kwenye maisha ya sasa....
 
six packs za hawa vijana ambao mostly are jobless nikaconnect dots.

Ikanibidi nianze kufanya uchunguzu yakinifu nikaanza kujenga ukaribu na house girls wake nikapata some info

sikutosheka ikabidi niwe ninafatilia nyendo za huyu shemeji yangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Tofauti yako na hao uliowaita jobless ni kufuatilia nyendo za watu
 
Being jobless it's not a disease or disaster but temporary life situation!
Speaking of jobless every time means inferiority complex meaning you got no job!
I wish you could know what I do and what I have you motherfucker.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ouch! Somebody got a panic attack here, lol

You look pathetic Gobermouch.
 
Kabisaa mwanaume mzima tena rijali unakua buzzy kufatilia maisha ya ndoa ya rafiki yako lol? Heeeeh mbna mapya haya mweeeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Una uhakika gani kama huyu mleta mada ni mwanaume Rijali mkuu?
 
Hata asiye single mother huweza kurudiana na ex tu.

Haya mapenzi hayatabiriki, sababu kubwa nadhani ni binaadamu kutokuwa static linapokuja suala la hisia za kimapenzi.

Mapenzi huanza , hukolea, hushuka na hatimaye huisha, nothing lasts forever.
Oh! Usicheze na Singeli wewe!
 
Una uhakika gani kama huyu mleta mada ni mwanaume Rijali mkuu?
Sasa si kasema mwenyewe, na anavo shadadia kutooa single mothers, nkajua n shababy tena mwenye uchungu na na wanawake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Dunia pana lol
 
Back
Top Bottom