Kama kuna waliokwazika na huu uzi ninaomba radhi sana aisee.
Nisameheni sana Jobless sikukusudia kuwakwaza imetokea tu bahati mbaya
Nisameheni sana single mothers kwa kuwakwaza
Nisameheni sana mlioa single mothers ninaona mapovu kama yote.

Nimalize kwa kuwashukuru wote waliotoa ushauri na maoni na pia wale waliousikiliza ushauri wangu.
Ninaimani watanishukuru sana baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi vijana tunaoa single mama, ila kwa masharti.

Hivi mshawahi kujiuliza kwanini kuna single mama na nini kitasaidia kuondoa au kupunguza hawa watu ?

Kwa ufupi single mama wamegawanyika katika makundi tofauti tofauti. Narudi kuwataja.
 
Single mama wa kuoa ni mjane tu aliyefiwa na mumewe.

Hawa wengine aisee.
 
Nav
Na ww mle
 
Ukioa single mother ni ishara ya udhaifu yaani wanawake wote wabichi duniani nikaoe aliezalishwa?

Big no

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa single mother(mke wa mtu) kwanza ni tusi kubwa sana kwa mabinti waliojitunza hawajazalishwa bado, wanasubiri wanaume wa kujenga nao familia.

Yaani unaacha wanawake fresh kabisa halafu unaenda kuoa mtu ambaye tayari ameshaingizwa labor na mwanaume mwenzio!??? Haloo no fedhea kubwa sana, kwanza hata wanawake wenyewe huwa wanatushangaa sana, sema wanaume wengi hawajui tu.

Kuna sister mmoja mtu mzima kidogo niliwahi kumuuliza kuhusiana na hili suala la kuoa single mother, aliniambia bila kificho kabisa pamoja na kwamba yeye mwenyewe ni single mother lakini hawezi kabisa kumshauri mtoto wake aoe single mother.

Imagine single mother mwenyewe anakwambia hivyo, halafu wewe kidume eti ndio unajitia una busara eti ntaishi vizuri tu..!!!

Pamoja na hayo... Acha wanaooa waoe tu maana ni maisha yao na sisi hayatuhusu

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Washauri vijana waoe bikra tu,masingle mother's na wasiokuwa na bikra lao moja,aliyeoa aliyetumika bila kuzaa asimcheke aliyeoa single mother,hao wote wanapasha viporo vizuri sana wakiamua
 
Ukweli ndo huo mzee

Mwanamke ukisha zaa nae, hata ni wewe huwezi kumuacha. Kuna muda mna misiana.

Yaani kwa mtindo huu acha single mother wapambane tuu na hali zao.

Labda bwana awe keshapigwa chepe (danjaring)
Hata ambao walibanjuana bila kuzaa mtoto wanamisiana sana tu,kinachowafanya wamisiane ni hisia za mapenzi wala sio mtoto/watoto waliozaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…