ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Unakosea! Inatakiwa umuulize pia kama baba mtoto yupo hai na kama wanawasiliana kwenye malezi ya mtoto. Unaweza kuwakimbia bure ukakosa vitamuNikitongoza hua nauliza kwanza unamtoto akisema ndio hata kama ni mzur vipi napiga chini sipendi ujinga mm
Tusiwalaumu single mothers. Hawakujitia mimba wenyewe.
Slogan yetu iwe 'USIZAE NA MWANAMKE USIYE NA FUTURE NAYE'.
Kama huna lengo la kuishi naye baadaye, usimtie mimba. Kwa sababu hakuna mwanaume atakayekuwa tayari kuoa mwanamke aliyezalishwa.
Tukishajizatiti katika hilo, hata single mothers hawatokuwepo. Kwa sababu tutawazalisha wale ambao tunajua tutadumu nao.
Kwako Studio.
Fafanua point mojamoja kama alivyoeleza hapo juu mtoa mada ili kusupport maelezo yako,otherwise utakuwa unapinga kwa kuhisi tu...
huyo mwanaume anae enjoy life na single mother kwa asilimia kubwa ameshaliona kaburi la mtanguliz wke!!!Siyo wote walio oa single mothers wanapitia hizo changamoto bhana! Wapo wadau wengine wanafaidi kweli kweli mapenzi ya hao single mothers, huku wakiwa hawana mgogoro wowote ule kwenye ndoa/mahusiano yao.
Hivyo mimi nashauri vijana waoe wanawake wa maisha yao. Utakuwa ni ufala mkubwa sana kuacha kuoa single mother ambaye ni wife material, halafu badala yake ukaenda kumuoa Asha Ngedere ambaye muda wote kyupi iko mkononi! Kisa tu hana mtoto.
Sio singo mothers wote wana wenza, wengine baba wa watoto wameshatangulia mbele za haki.Sawa umemuoa, siku akikuomba kwenda kukutana na mzazi nwenzake ili kupanga maendeleo ya mtoto utamnyima? Hilo ni tatizo la kunywa soda iliyofinguliwa ila kizibo kimeegeshwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Agreed 100+Kheri ya Mwaka Mpya
Vijana ambao hamjaoa, Kaka yenu Jokajeusi anasema msioe single-mother hata Kama mmeshikiwa bunduki.
Singel mother hasa waliozaliwa miaka kuanzia ya 90 mpaka sasa hao achaneni nao kabisa. Mkiwaona wapeini moyo, wasapotini kwenye vibiashara vyao na kazi zao ili wapate walau pesa za kujifariji, Ila kamwe msithubutu kuwaoa. Ni shimo refu Sana lenye Giza ambalo kutoka humo ni ngumu.
Ukifikiria kuoa single mother sharti ufikirie Yafuatayo;
1. Mzazi mwenza
Je uutamudu mawasiliano Yao.
Je upo tayari kukubali uwepo wa mzazi mwenza kwenye ndoa yenu?
Je upo tayari kusikia pesa hii imetoka Kwa mzazi mwenza wa Mkeo?
2. Kumtunza Mtoto uliyemkuta
Je upo tayari kumtunza Mtoto asiyewako?
Kama hauko tayari unafikiri Mkeo atafurahi mtoto wako awe anasoma shule nzuri, anavaa vizuri wakati Mtoto wake Kwa mzazi mwenzake (mume mwenza) hapendezi na anasoma shule Mbaya.
Au je utavumilia mtoto wako huwezi kumhudumia anasoma shule Mbaya na anavaa marapurapu alafu wakati huo mtoto wa mume mwenza akiwa anapendeza ndani ya nyumba yako?
3. URITHI
Je unafikiri ukifa Mkeo atakubali mtoto wake aliyempata nje ya ndoa akose Mali Kwa kisingizio chochote kile?
Ikiwa tuu wanawake wanang'ang'ania Mali ambazo wamezikuta Kwa waume zao wakidai wapewe nusu Kwa nusu unafikiri watakubali?
Kama unafikiri hivyo jua wewe bado mtoto Sana kuwafahamu Wanawake.
Wanawake ni wabinafsi kuliko kiumbe yeyote hapa ulimwenguni.
Mwanamke kitu pekee anachoweza kukipenda Kwa moyo wote ni mtoto/watoto aliowazaa MWENYEWE.lakini kamwe hawajawahi kumpenda mwanaume Kwa moyo wao wote.
Wanawake watakupenda Kwa matarajio Fulani, labda kama anaona kuna future zuri mbele yenu basi atakupenda Kwa future hiyo ndio maana wanaume mnashauriwa kuwadanganya wanawake kuwa mambo yatakuwa mazuri wasijali.
Mwanamke hawezi kukupenda kamwe Kama akigundua matarajio yake ya maisha mazuri hayapo. Labda awe mama Yako mzazi.
Msioe single-mother ni hatari Kwa maisha yenu.
Ujanani utateswa na wasiwasi WA mzazi mwenza kisha uzeeni utateswa na karaha za watoto wa kambo hasa wa Zama hizi.
Kikawaida wanawake wengi hupewa mimba na wanaume waliowapenda au wenye hadhi waitakao na kukubali kuolewa na watu wasiowapenda na wenye hadhi ya chini Kabisa.
Kabla hujamuoa single-mother jiulize Kwa jinsi alivyo Kama angekuwa Hana mtoto angekukubalia umuoe?
Au anakubali ili uokoe jahazi?
Wenye mapovu nimeshawazoea
Sawa tatizo tabia zao wengi zinawahukumu.Tusiwalaumu single mothers. Hawakujitia mimba wenyewe.
Slogan yetu iwe 'USIZAE NA MWANAMKE USIYE NA FUTURE NAYE'.
Kama huna lengo la kuishi naye baadaye, usimtie mimba. Kwa sababu hakuna mwanaume atakayekuwa tayari kuoa mwanamke aliyezalishwa.
Tukishajizatiti katika hilo, hata single mothers hawatokuwepo. Kwa sababu tutawazalisha wale ambao tunajua tutadumu nao.
Kwako Studio.
Nahisi utakuwa bado mtoto weweHizo ni sababu zako wewe,nitaoa single mother mke wa kwanza,nitaoa single mother kama mke wa pili hadi wafike wanne.
Single mother wengi wanajitambua kikubwa kama mwanaume timiza wajibu wako,kama ameachana na mwanaume wake jua kuna kitu kilikua hakipo sawa,na mpaka anakubali kuolewa na mwanaume mwingine basi kuna kitu ameona kipo sawa,
Nchi za wenzetu wanawake wanaolewa kwa mikataba,anaweza olewa na wanaume hadi kumi na kuachika.
Point kubwa sana umeongea. Single mothers ambao hawawapi stress waume zao ni wale WALIOWAACHA mabwana zao waliowazalisha Tena kwa hila. Sio hawa waliopigwa mimba na masela wanyoa viduku halafu kutokana na ugumu wa life na kushindwa malezi ya mtoto njemba ikakimbia wkt dem bado ana real love na jamaa. Amini nakuambia msela pamoja na ujinga alioufanya kumtelekeza na mimba akirudi mapenzi yataanza upya tuUhalisia ni kila mtu anaongea point kulingana na anachokifikiria,
Binafsi naamini hakuna baya au zuri, ila swala ni kuwa utalitafsirije??
Ukioa single mother unaweza ukakasirika sana au ukafurahia sana uamuzi wako, kuna anaejifunza kuwa wanaume wengi sie ni mbuzi na kuna anaejirengesha kwa aliemzaridha
Sikuzote hakuna kitu kinachoua ndoa kama upendo, haijarishi kaolewa ama hajaolewa upendo ukiangukia kwa mwanaume mwingine ambae sio ww hapo ndo shida,
Katika kuishi katika dunia hii hakuna mtu anaeweza pindua meza kwa aliemuacha, kama single maza aliachwa yeye pale alipopenda basi hilo jinamizi litamuandama maishani kwake kote na jamaa akijileta kwa singo mama wako hatochomoa,
We(mwanaume) jaribu tu kuwazia dem uliempenda kulko kawaida na dem akakuacha ukakaa wiki2 unamuwaza tu na roho inakuuma af baada ya mwez ukaanza kumsahau na kadi miaka inavyoenda ukamsahau, akijileta leo lazma ule moyo wa zamani utajijenga haraka sana, na ndo apo single mama wanapoangukia, especially kama anamtoto wa hyo njemba
Labda tu tuseme awe amekupenda wewe zaidi
Wala hujafanya kosa...yaani mwanamke umezalishwa umeachwa unashikaje mimba tena wakati hujaolewa. Huyo ni mjinga wakutuowa hafai kabisa kuoa. Umefanya maamuzi sahihi kumbwagaKuna mmoja nilikuwa nae, alikuwa ameachika akiwa na mtoto mmoja, kila nikitaka kumwacha ananing'ang'ania, anakuja analia kweli kweli eti ooh nimekuzoea, Mara aje na huyo mtoto wake, nikajihisi kabisa sitaweza kuwa na mke ambaye anamtoto wakati Mimi ni kijana mdogo 26yrs.
Nikamweka wazi lakini wapi ananiletea napiga. Daah akapata ujauzito, akaona ndiyo tiketi ya Mimi kumuoa, niliumia Sana, nafsi ilinisuta Sana mungu anisemehe kwa yote yaliyoendelea kwa kweli, lakini sikuwa tayari kumuoa. Na Mimi nikawa single father
Fungueni kikao chenu.Na ambao hatujaolewa tusiolewe na ma single daddy ama ?
Vipi kama single mama anampunga wa kutosha?Kheri ya Mwaka Mpya
Vijana ambao hamjaoa, Kaka yenu Jokajeusi anasema msioe single-mother hata Kama mmeshikiwa bunduki.
Singel mother hasa waliozaliwa miaka kuanzia ya 90 mpaka sasa hao achaneni nao kabisa. Mkiwaona wapeini moyo, wasapotini kwenye vibiashara vyao na kazi zao ili wapate walau pesa za kujifariji, Ila kamwe msithubutu kuwaoa. Ni shimo refu Sana lenye Giza ambalo kutoka humo ni ngumu.
Ukifikiria kuoa single mother sharti ufikirie Yafuatayo;
1. Mzazi mwenza
Je uutamudu mawasiliano Yao.
Je upo tayari kukubali uwepo wa mzazi mwenza kwenye ndoa yenu?
Je upo tayari kusikia pesa hii imetoka Kwa mzazi mwenza wa Mkeo?
2. Kumtunza Mtoto uliyemkuta
Je upo tayari kumtunza Mtoto asiyewako?
Kama hauko tayari unafikiri Mkeo atafurahi mtoto wako awe anasoma shule nzuri, anavaa vizuri wakati Mtoto wake Kwa mzazi mwenzake (mume mwenza) hapendezi na anasoma shule Mbaya.
Au je utavumilia mtoto wako huwezi kumhudumia anasoma shule Mbaya na anavaa marapurapu alafu wakati huo mtoto wa mume mwenza akiwa anapendeza ndani ya nyumba yako?
3. URITHI
Je unafikiri ukifa Mkeo atakubali mtoto wake aliyempata nje ya ndoa akose Mali Kwa kisingizio chochote kile?
Ikiwa tuu wanawake wanang'ang'ania Mali ambazo wamezikuta Kwa waume zao wakidai wapewe nusu Kwa nusu unafikiri watakubali?
Kama unafikiri hivyo jua wewe bado mtoto Sana kuwafahamu Wanawake.
Wanawake ni wabinafsi kuliko kiumbe yeyote hapa ulimwenguni.
Mwanamke kitu pekee anachoweza kukipenda Kwa moyo wote ni mtoto/watoto aliowazaa MWENYEWE.lakini kamwe hawajawahi kumpenda mwanaume Kwa moyo wao wote.
Wanawake watakupenda Kwa matarajio Fulani, labda kama anaona kuna future zuri mbele yenu basi atakupenda Kwa future hiyo ndio maana wanaume mnashauriwa kuwadanganya wanawake kuwa mambo yatakuwa mazuri wasijali.
Mwanamke hawezi kukupenda kamwe Kama akigundua matarajio yake ya maisha mazuri hayapo. Labda awe mama Yako mzazi.
Msioe single-mother ni hatari Kwa maisha yenu.
Ujanani utateswa na wasiwasi WA mzazi mwenza kisha uzeeni utateswa na karaha za watoto wa kambo hasa wa Zama hizi.
Kikawaida wanawake wengi hupewa mimba na wanaume waliowapenda au wenye hadhi waitakao na kukubali kuolewa na watu wasiowapenda na wenye hadhi ya chini Kabisa.
Kabla hujamuoa single-mother jiulize Kwa jinsi alivyo Kama angekuwa Hana mtoto angekukubalia umuoe?
Au anakubali ili uokoe jahazi?
Wenye mapovu nimeshawazoea
Kazi yenyewe hata sio ndogo yani .Kazi ipo kwakweli, sitamani atokee yeyote katika kikazi changu kuwa singo mom au singo dad
Inategemea ukikutana na mwanamke anayejielewa...life is good...kikubwa no mipangilio yenu..na mwisho since mwanzo wa mahusiano yenu mliweka miiko ganiKheri ya Mwaka Mpya
Vijana ambao hamjaoa, Kaka yenu Jokajeusi anasema msioe single-mother hata Kama mmeshikiwa bunduki.
Singel mother hasa waliozaliwa miaka kuanzia ya 90 mpaka sasa hao achaneni nao kabisa. Mkiwaona wapeini moyo, wasapotini kwenye vibiashara vyao na kazi zao ili wapate walau pesa za kujifariji, Ila kamwe msithubutu kuwaoa. Ni shimo refu Sana lenye Giza ambalo kutoka humo ni ngumu.
Ukifikiria kuoa single mother sharti ufikirie Yafuatayo;
1. Mzazi mwenza
Je uutamudu mawasiliano Yao.
Je upo tayari kukubali uwepo wa mzazi mwenza kwenye ndoa yenu?
Je upo tayari kusikia pesa hii imetoka Kwa mzazi mwenza wa Mkeo?
2. Kumtunza Mtoto uliyemkuta
Je upo tayari kumtunza Mtoto asiyewako?
Kama hauko tayari unafikiri Mkeo atafurahi mtoto wako awe anasoma shule nzuri, anavaa vizuri wakati Mtoto wake Kwa mzazi mwenzake (mume mwenza) hapendezi na anasoma shule Mbaya.
Au je utavumilia mtoto wako huwezi kumhudumia anasoma shule Mbaya na anavaa marapurapu alafu wakati huo mtoto wa mume mwenza akiwa anapendeza ndani ya nyumba yako?
3. URITHI
Je unafikiri ukifa Mkeo atakubali mtoto wake aliyempata nje ya ndoa akose Mali Kwa kisingizio chochote kile?
Ikiwa tuu wanawake wanang'ang'ania Mali ambazo wamezikuta Kwa waume zao wakidai wapewe nusu Kwa nusu unafikiri watakubali?
Kama unafikiri hivyo jua wewe bado mtoto Sana kuwafahamu Wanawake.
Wanawake ni wabinafsi kuliko kiumbe yeyote hapa ulimwenguni.
Mwanamke kitu pekee anachoweza kukipenda Kwa moyo wote ni mtoto/watoto aliowazaa MWENYEWE.lakini kamwe hawajawahi kumpenda mwanaume Kwa moyo wao wote.
Wanawake watakupenda Kwa matarajio Fulani, labda kama anaona kuna future zuri mbele yenu basi atakupenda Kwa future hiyo ndio maana wanaume mnashauriwa kuwadanganya wanawake kuwa mambo yatakuwa mazuri wasijali.
Mwanamke hawezi kukupenda kamwe Kama akigundua matarajio yake ya maisha mazuri hayapo. Labda awe mama Yako mzazi.
Msioe single-mother ni hatari Kwa maisha yenu.
Ujanani utateswa na wasiwasi WA mzazi mwenza kisha uzeeni utateswa na karaha za watoto wa kambo hasa wa Zama hizi.
Kikawaida wanawake wengi hupewa mimba na wanaume waliowapenda au wenye hadhi waitakao na kukubali kuolewa na watu wasiowapenda na wenye hadhi ya chini Kabisa.
Kabla hujamuoa single-mother jiulize Kwa jinsi alivyo Kama angekuwa Hana mtoto angekukubalia umuoe?
Au anakubali ili uokoe jahazi?
Wenye mapovu nimeshawazoea
Hongera Kwa kupindua matokeoHapana ndugu ni kitambo, ilikuwa 2011, nilipata mwenza na Nina watoto wawili, kwasasa 2-3
Mimi naona unawakosea kwasababu hamna mwanamke ambae anapenda kuwa single mother, ni huenda kuna mwanaume alimuahidi ndoa afu akachomoka.
Pia wanaume wengi sikuhizi wanatabia ya kuwaambia dada zetu kuwa tuzae kwanza mambo yakikaa poa nitakuoa.
Mimi naona ni kuangalia tabia ya mtu, kama ana tabia mbovu achana nae.. ila unaweza enda oa bikra wako na akakusumbua ukaona afadhari ya yule single mother.
Faida za kumpa stara single mother anaejielewa
1. Atakuheshimu sana maana umemstiri
2. Baraka na riziki za yule mtoto zitapitia mikononi mwako.
3. Utapata baraka hata kutoka kwa Mungu kwa kumlea yule mtoto na kumfanya asijihisi kua hana baba.
4. Umesaidia kizazi kijacho kujifunza kutoka kwako kutokumuhukumu mtu kisa alizalishwa.
5. Itasaidia watoto wa kike kupunguza kutoa mimba
Tusihukumu wote, tuangalie chanzo cha yeye kuwa single mother kwanza, tabia zake, jinsi anavyokufanya ujisikie kama mwanaume, jinsi anavyokuheshimu, baraka zake maana kuna wanawake wengine wananyota yani ukiwa nae tu unatajirika, nk