Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hahaaa hapana mkuu, single mother wengi Ni shida..Kuna mwanamke aliahidiwa kuolewa na mpaka kwaowakatambulishana shida ikawa anapenda pesa Sana. Na kufuatilia situationhiyo jamaa akaamua kumtema na wakati huo anamimba malezi aliyolelewa nyumbani mabovu Tena ya ovyo, Ni mhitimu wachuo lakin akigombana na mpenzi wake anashitaki kwa kaka yake familia nzima wanakuja juu..Sasa hapo unategemea huyo mwanamke ukioa utafaidi..au utapata shida tu
 
Wewe unabebaje mimba ya mtu ambaye hajakuoa?
Unakuwa unawa
Wewe unabebaje mimba ya mtu ambaye hajakuoa?
Unakuwa unawaza nini ?
kosa si kosa bali kosa kurudia kosa, unajua wanawake wengi sikuhizi wanachangamoto ya hormones imbalance kwasababu ya vyakula vya sikuhizi na kazi za sikuhizi.
Huenda mimba imeingia bila yeye kujua anakuja kushtuka yupo 5 month pregnant na mwanaume alimpa security kuwa haina shida mm nitakuoa.

Afu pia sikuhizi kuna mchezo wa wadau wengi yani anatoa mpaka posa afu anaishia mitini.

yani my point is usimuhukumu mtu because ni single mother au kwasababu yoyote mpaka usikilize pande zote mbili, na umjue kiundani kwanza. Maana sheria ya nchi inasema ukiishi na mtu more than 6 month ni mkeo au mume wako.

Pia wazee wazamani wapo ambao yani ameishi na mwanamke bila ndoa mpaka watoto wamefika chuo, wameoa ila wao hawana wazo la ndoa.
 
Huenda mimba imeingia bila yeye kujua anakuja kushtuka yupo 5 month pregnant na mwanaume alimpa security kuwa haina shida mm nitakuoa.

Afu pia sikuhizi kuna mchezo wa wadau wengi yani anatoa mpaka posa afu anaishia mitini.

yani my point is usimuhukumu mtu because ni single mother au kwasababu yoyote mpaka usikilize pande zote mbili, na umjue kiundani kwanza. Maana sheria ya nchi inasema ukiishi na mtu more than 6 month ni mkeo au mume wako.

Pia wazee wazamani wapo ambao yani ameishi na mwanamke bila ndoa mpaka watoto wamefika chuo, wameoa ila wao hawana wazo la ndoa.
Hahaha!!! yan period anakuwa anapata kwa miezi yote mkitano?
Hao masingle maza wanaopewa mimba before kuolewa wanakuwa wamependa tu.
 
Naomba ntakujibu kwa visa Joka maana kuishi kwingi kuona mengi:

1. Kuna polisi kaibiwa mke ambaye alimuoa akiwa vizuri tu, ila akatokea mtu huko akamuiba na mke akahamia kwake. Jamaa kaelekezwa alipo mkewe kamfata kampata ila maelezo ya mke ni kwamba, nifanye itakavyokupendeza ila sikutaki tena. Polisi sasa hivi kakubaliana na hali kaachana nae amemove on ila hakuamini kabisa kilichotokea maana mwanamke alimkuta akiwa vizuri
( Ila nina Ndugu yangu yupo tu na single mother wake hawaachani miaka na miaka)

2. Mzee mwenzangu aliwekewa mtego akanaswa, alishikiwa bastola kwa kosa la kutembea na mke wa mtu, akabebwa mkuku mkuku chini ya ulinzi na njemba mpaka dukani kwa mke wa jamaa, mke kaulizwa unamfahamu huyu akajibu namfahamu ndio na hajui kama nimeolewa ila natembea nae ndio, akamgeukia mumewe akamwambia wewe si upo busy, utajua mwenyewe. Mwenye mke akaona hapa ntaua wangapi? Mzee akaachiwa kuna siku akatafutwa akaombwa msamaha na fidia juu za usumbufu na mwenye mke akakiri mkewe hajatulia amebadilika na kuwa malaya. Tupo na mzee mtaani tukila mvinyo na jamaa mwenye mke kabla ya fumanizi alijua ana mke kweli.
(Ila nina Ndugu yangu yupo tu na single mother wake na kamwongezea mtoto hawaachani miaka na miaka)

3. Kuna mtu yupo na mwanamke aliyezaa watoto 3 alimnyang'anya jamaa huko alikuwa njaa njaa hawezi kuimudu familia.
Jamaa kazaa na mkewe watoto 3, sio kamkuta na mtoto, la ha sha, kamzalisha watoto 3 akajua ila katokea mwamba huko kamtongoza mke wake mpaka kakubali kaanza kumuhudumia mpaka mke akaona ya nn shida, akamkimbia jamaa na kuhama nyumbani.

Watoto wa jamaa wapo nje huko wanasoma kwa fedha za mume mpya.
jamaa ukimpa hii hadithi ya single mama ndo wenye tatizo hatakuelewa maana mkewe(Shemeji yake kwa sasa) ni mwanamke na nusu ila ameshawishiwa na ametulizwa na mwanaume mwingine.
(Ila nina Ndugu yangu yupo tu na single mother wake na kamwongezea mtoto hawaachani miaka na miaka)

HITIMISHO
Vijana ambao hamjaoa tafuteni ukwasi muweze kuzitunza familia na mwanamke akuheshimu lakini la muhimu ni kuomba sana usikosee kuoa.

Achana na formula, hakuna formula ingekuwepo kila mtu angeandikiwa aifuate. Sio kila mwenye matatizo ya ndoa alioa single mother.
Shida hapa sio maisha kuwa na formula ama vipi, shida ni kuoa single mother hawa wa kisasa ambao wanaishi kwa kuhisi mahusiano ni biashara ya nipe nikupe.

Sasa wewe unaongelea story hizi za moja katika mia moja. Sisi tunakwambia yanayojiri. Mimi nilishajaribu na hawa viumbe. So nikisema naongea niliyoyaobserve.....
 
Ukweli ni kwamba, mwanaume hana maamuzi hata chembe ya kumzalisha mwanamke, na mwanamke asipotaka kuzaa hata ufanye nini HATAZAA...

Wanaoshikilia uskani wa maamuzi ya kuzaa au kutokuzaa ni wanawake, mtu anakaa bila kuzaa miaka yote ya shule, then baada ya kumaliza shule/chuo na kuona age inasogea anadaka mimba na kusema ni bahati mbaya, hakuna bahati mbaya hapo...AMEAMUA KABISAAAA
Sahihi kabisa. Mwanaume hana control juu ya sex sababu mwanamke ndie anaeamua kutoa mwili wake ili mwanaume apate starehe na kuridhika na ndio maana tupo tayari kutoa pesa na mali ili kupata sex kutoka kwa mwanamke mtamu mwenye mvuto.

So ukiona mwanamke amepata ujauzito jua ilikuwa ni dhamira na haja yake kupata ujauzito na kupata mtoto wa huyo mwanaume.

Ukiona mwanamke amepata mtoto na mwanaume usikubali story ya kusema ilikuwa bahati mbaya bali jua alikuwa tayari na alitaka huyo mwanaume ampe mimba labda kama alibakwa na kwa nguvu na kufungiwa sehemu hadi kushika ujauzito , kinyume chake ni uongo tupu.

Ila ni ngumu sana kwa mwanamke na hana jeuri ya kucontrol mahusiano au ndoa sababu mwanaume ndie ana amua kuishi na mwanamke yupi na kumtunza kama kitu cha thamani kwake.

So naungana mkono na wewe kuwa mwanamke ndie anaeamua kwasababu zake kushika ujauzito wa mwanaume fulani na hakunaga bahati mbaya hata kidogo.
 
Full stop single mothers sio wa kuoa mtie mimba uhudumie mwanao ni wajinga sana wengi wao wanakariri mwanaume akimpa pesa ndo anampenda wanawaacha wenye mapenzi ya kweli kwa vile hawako vizuri sana kiuchumi

Wengi nimeona ni wajinga hawana akili mwanaume kamuacha hataki kumoa eti anampost katika father's day imagine we umuoe ndo uone huku kwny status

Kati ya ujinga sifany hata mahusiano sitaki kwanza yanashobo sana ji mtu unataka kulioa unaagalia kwenye simu yule jamaa kamtelekeza kamsave my love ni wajinga sana

Kampeni kwa sisi wanaume tafuta mwanamke mbichi anzisha mahusiano nae hao single mothers achana kingine usidare na mwanamke kama hauna malengo nae kwanza unajichoresha kila demu ulale nae kip cha maana kaa tulia ili ukimpa mimba umuoe wanao waishi vizuri

Sometime ukiwa unajielewa ukishakuwa na wanao ndo furah tafuta pesa hudumia familia sio kila demu unataka umeone uchi wake mingine mikosi kwenye maisha usawa mbovu
 
Ipo siku nitakuja kukushukuru au kukulaumu Bwana Joka, nilivyochomoka chupri-chupri kwa single mama niliyezama nikawa sioni sisikii…. sema alikuwa na kismati michongo mingi mno ilitick.!

Ulinitia hofu nyingi ila kama namiss kitu hivi, ngoja iendelee kunyesha tuone na hapa nilipojiweka.
 
Ipo siku nitakuja kukushukuru au kukulaumu Bwana Joka, nilivyochomoka chupri-chupri kwa single mama niliyezama nikawa sioni sisikii…. sema alikuwa na kismati michongo mingi mno ilitick.!

Ulinitia hofu nyingi ila kama namiss kitu hivi, ngoja iendelee kunyesha tuone na hapa nilipojiweka.


Utakuja kunishukuru,

Ni Bora uwe na migogoro na Mwanamke wako mwenyewe kuliko kuwa na migogoro na wanawake za watu(single-mother)
 
Wala hujafanya kosa...yaani mwanamke umezalishwa umeachwa unashikaje mimba tena wakati hujaolewa. Huyo ni mjinga wakutuowa hafai kabisa kuoa. Umefanya maamuzi sahihi kumbwaga

Sio tu kuolewa ata mtu basi aoneshe nia kua anakutaka na unaishi nae ata bila ndoa... pumbav imenikuta hii naumia sana namhurumia sana mwanangu Mana demu sikua kua na hisia nae kabisa
 
Sio tu kuolewa ata mtu basi aoneshe nia kua anakutaka na unaishi nae ata bila ndoa... pumbav imenikuta hii naumia sana namhurumia sana mwanangu Mana demu sikua kua na hisia nae kabisa
wew jamaa sasa hukuwa na hisia na demu inakuwaje mpaka ukamgegeda, mbona unataka kutuenjoy mwanawane
 
Tusiwalaumu single mothers. Hawakujitia mimba wenyewe.

Slogan yetu iwe 'USIZAE NA MWANAMKE USIYE NA FUTURE NAYE'.

Kama huna lengo la kuishi naye baadaye, usimtie mimba. Kwa sababu hakuna mwanaume atakayekuwa tayari kuoa mwanamke aliyezalishwa.

Tukishajizatiti katika hilo, hata single mothers hawatokuwepo. Kwa sababu tutawazalisha wale ambao tunajua tutadumu nao.

Kwako Studio.
Uko smart kwa kichwa ankol
 
Siyo wote walio oa single mothers wanapitia hizo changamoto bhana! Wapo wadau wengine wanafaidi kweli kweli mapenzi ya hao single mothers, huku wakiwa hawana mgogoro wowote ule kwenye ndoa/mahusiano yao.

Hivyo mimi nashauri vijana waoe wanawake wa maisha yao. Utakuwa ni ufala mkubwa sana kuacha kuoa single mother ambaye ni wife material, halafu badala yake ukaenda kumuoa Asha Ngedere ambaye muda wote kyupi iko mkononi! Kisa tu hana mtoto.
[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake ni wabinafsi kuliko kiumbe yeyote hapa ulimwenguni.
Mwanamke kitu pekee anachoweza kukipenda Kwa moyo wote ni mtoto/watoto aliowazaa MWENYEWE.lakini kamwe hawajawahi kumpenda mwanaume Kwa moyo wao wote.

Wanawake watakupenda Kwa matarajio Fulani, labda kama anaona kuna future zuri mbele yenu basi atakupenda Kwa future hiyo ndio maana wanaume mnashauriwa kuwadanganya wanawake kuwa mambo yatakuwa mazuri wasijali.

Mwanamke hawezi kukupenda kamwe Kama akigundua matarajio yake ya maisha mazuri hayapo. Labda awe mama Yako mzazi.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Ila siyo wanawake wote, good girls still exist...
 
Back
Top Bottom