mbona hugegedi kichaaaa au kila mwanamke. sema mwanuame haitaji hisia za upendo kumgegeda mwanamkeMwanamme hahitaji hisia kugegeda, rudi kwenye misingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hugegedi kichaaaa au kila mwanamke. sema mwanuame haitaji hisia za upendo kumgegeda mwanamkeMwanamme hahitaji hisia kugegeda, rudi kwenye misingi.
Hujajibu bado. baada y ugumu ndio akajua mkewe ana watoto nje?Baada ya maisha kuwa magumu zaidi
Nikumuacha tu atajijua mwenywe chamuimu ni kuwa ongoza watoto wa kuzaa mwenyewe tu huyo mwingine atafunzwa na Baba yke au duniaKwenye mtoto hapo kumuadhibu ni kazi kweli kweli sijui wanawezaje asee, ikiwa nimeshuhudia ndugu wa damu toka ni toke mtu na dada yake mdogo mtu anamrushie maneno dada yake mabaya kwamba zaa wako sijui nini kisa alimchapa mwanae sababu alimfonya dada mtu ikawa nongwa hivi ndo mtoto wa mwanamme Mwingine inakuwaje??
Yah watoto wa mkeo wanaweza kuwa mzigo uliotengenezewa uku aliye kutengenezea yeye akila bataBaada ya wiki kutomuona shemeji yetu hapa jirani ilibidi kuhoji jirani yetu. Akafunguka wazi kuwa amemtimua maana ana watoto wanne aliozaa huko nje na sababu maisha ni magumu hawezi kuhudumia watoto wa mwanaume mwingine.
Maisha yamekuwa magumu sana jamani. Yaani watoto wa mkeo wanakuwa mzigo?
Hata kama mimi kavyatuliwa Matofali ma4Baada ya wiki kutomuona shemeji yetu hapa jirani ilibidi kuhoji jirani yetu. Akafunguka wazi kuwa amemtimua maana ana watoto wanne aliozaa huko nje na sababu maisha ni magumu hawezi kuhudumia watoto wa mwanaume mwingine.
Maisha yamekuwa magumu sana jamani. Yaani watoto wa mkeo wanakuwa mzigo?
Kuwa na watoto ni baraka mkuu.Ila mmewaandama sana Singlemother nahisi hata wakiona hizi nyuzi wanajilaumu sana
Hyo Ni sababu ndogo San eti kwenda kupanga maendeleo kivip yaani hkn hicho kituSawa umemuoa, siku akikuomba kwenda kukutana na mzazi nwenzake ili kupanga maendeleo ya mtoto utamnyima? Hilo ni tatizo la kunywa soda iliyofinguliwa ila kizibo kimeegeshwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app