mind ur business
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 416
- 415
Huenda mimba imeingia bila yeye kujua anakuja kushtuka yupo 5 month pregnant na mwanaume alimpa security kuwa haina shida mm nitakuoa.Wewe unabebaje mimba ya mtu ambaye hajakuoa?
Unakuwa unawa
kosa si kosa bali kosa kurudia kosa, unajua wanawake wengi sikuhizi wanachangamoto ya hormones imbalance kwasababu ya vyakula vya sikuhizi na kazi za sikuhizi.Wewe unabebaje mimba ya mtu ambaye hajakuoa?
Unakuwa unawaza nini ?
Hahaha!!! yan period anakuwa anapata kwa miezi yote mkitano?Huenda mimba imeingia bila yeye kujua anakuja kushtuka yupo 5 month pregnant na mwanaume alimpa security kuwa haina shida mm nitakuoa.
Afu pia sikuhizi kuna mchezo wa wadau wengi yani anatoa mpaka posa afu anaishia mitini.
yani my point is usimuhukumu mtu because ni single mother au kwasababu yoyote mpaka usikilize pande zote mbili, na umjue kiundani kwanza. Maana sheria ya nchi inasema ukiishi na mtu more than 6 month ni mkeo au mume wako.
Pia wazee wazamani wapo ambao yani ameishi na mwanamke bila ndoa mpaka watoto wamefika chuo, wameoa ila wao hawana wazo la ndoa.
Tuishie hapa kwa leo mkuuHahaha!!! yan period anakuwa anapata kwa miezi yote mkitano?
Hao masingle maza wanaopewa mimba before kuolewa wanakuwa wamepanda tu.
Shida hapa sio maisha kuwa na formula ama vipi, shida ni kuoa single mother hawa wa kisasa ambao wanaishi kwa kuhisi mahusiano ni biashara ya nipe nikupe.Naomba ntakujibu kwa visa Joka maana kuishi kwingi kuona mengi:
1. Kuna polisi kaibiwa mke ambaye alimuoa akiwa vizuri tu, ila akatokea mtu huko akamuiba na mke akahamia kwake. Jamaa kaelekezwa alipo mkewe kamfata kampata ila maelezo ya mke ni kwamba, nifanye itakavyokupendeza ila sikutaki tena. Polisi sasa hivi kakubaliana na hali kaachana nae amemove on ila hakuamini kabisa kilichotokea maana mwanamke alimkuta akiwa vizuri
( Ila nina Ndugu yangu yupo tu na single mother wake hawaachani miaka na miaka)
2. Mzee mwenzangu aliwekewa mtego akanaswa, alishikiwa bastola kwa kosa la kutembea na mke wa mtu, akabebwa mkuku mkuku chini ya ulinzi na njemba mpaka dukani kwa mke wa jamaa, mke kaulizwa unamfahamu huyu akajibu namfahamu ndio na hajui kama nimeolewa ila natembea nae ndio, akamgeukia mumewe akamwambia wewe si upo busy, utajua mwenyewe. Mwenye mke akaona hapa ntaua wangapi? Mzee akaachiwa kuna siku akatafutwa akaombwa msamaha na fidia juu za usumbufu na mwenye mke akakiri mkewe hajatulia amebadilika na kuwa malaya. Tupo na mzee mtaani tukila mvinyo na jamaa mwenye mke kabla ya fumanizi alijua ana mke kweli.
(Ila nina Ndugu yangu yupo tu na single mother wake na kamwongezea mtoto hawaachani miaka na miaka)
3. Kuna mtu yupo na mwanamke aliyezaa watoto 3 alimnyang'anya jamaa huko alikuwa njaa njaa hawezi kuimudu familia.
Jamaa kazaa na mkewe watoto 3, sio kamkuta na mtoto, la ha sha, kamzalisha watoto 3 akajua ila katokea mwamba huko kamtongoza mke wake mpaka kakubali kaanza kumuhudumia mpaka mke akaona ya nn shida, akamkimbia jamaa na kuhama nyumbani.
Watoto wa jamaa wapo nje huko wanasoma kwa fedha za mume mpya.
jamaa ukimpa hii hadithi ya single mama ndo wenye tatizo hatakuelewa maana mkewe(Shemeji yake kwa sasa) ni mwanamke na nusu ila ameshawishiwa na ametulizwa na mwanaume mwingine.
(Ila nina Ndugu yangu yupo tu na single mother wake na kamwongezea mtoto hawaachani miaka na miaka)
HITIMISHO
Vijana ambao hamjaoa tafuteni ukwasi muweze kuzitunza familia na mwanamke akuheshimu lakini la muhimu ni kuomba sana usikosee kuoa.
Achana na formula, hakuna formula ingekuwepo kila mtu angeandikiwa aifuate. Sio kila mwenye matatizo ya ndoa alioa single mother.
Sahihi kabisa. Mwanaume hana control juu ya sex sababu mwanamke ndie anaeamua kutoa mwili wake ili mwanaume apate starehe na kuridhika na ndio maana tupo tayari kutoa pesa na mali ili kupata sex kutoka kwa mwanamke mtamu mwenye mvuto.Ukweli ni kwamba, mwanaume hana maamuzi hata chembe ya kumzalisha mwanamke, na mwanamke asipotaka kuzaa hata ufanye nini HATAZAA...
Wanaoshikilia uskani wa maamuzi ya kuzaa au kutokuzaa ni wanawake, mtu anakaa bila kuzaa miaka yote ya shule, then baada ya kumaliza shule/chuo na kuona age inasogea anadaka mimba na kusema ni bahati mbaya, hakuna bahati mbaya hapo...AMEAMUA KABISAAAA
Watoto wa mwanaume wewe hawakuhusu hata kidogo wana mama yao.Na ambao hatujaolewa tusiolewe na ma single daddy ama ?
Kwani kupigana mashine lazima . Unaweza ugulia tu na kuwa serious na mahusino upate wa kupeana nae mzigo kiuhalali kukwepa mimba haramu.Nyie ndiyo mnaochochea matumizi ya P2 na abortion.
Nchi za wenzetu wanawake wanaolewa kwa mikataba,anaweza olewa na wanaume hadi kumi na kuachika.
Ipo siku nitakuja kukushukuru au kukulaumu Bwana Joka, nilivyochomoka chupri-chupri kwa single mama niliyezama nikawa sioni sisikii…. sema alikuwa na kismati michongo mingi mno ilitick.!
Ulinitia hofu nyingi ila kama namiss kitu hivi, ngoja iendelee kunyesha tuone na hapa nilipojiweka.
Wala hujafanya kosa...yaani mwanamke umezalishwa umeachwa unashikaje mimba tena wakati hujaolewa. Huyo ni mjinga wakutuowa hafai kabisa kuoa. Umefanya maamuzi sahihi kumbwaga
wew jamaa sasa hukuwa na hisia na demu inakuwaje mpaka ukamgegeda, mbona unataka kutuenjoy mwanawaneSio tu kuolewa ata mtu basi aoneshe nia kua anakutaka na unaishi nae ata bila ndoa... pumbav imenikuta hii naumia sana namhurumia sana mwanangu Mana demu sikua kua na hisia nae kabisa
wew jamaa sasa hukuwa na hisia na demu inakuwaje mpaka ukamgegeda, mbona unataka kutuenjoy mwanawane
Ajipange kweliNimefuatilia ligi yako na love life live life hapo juu, wewe ni mfano sahihi kabisa wa single mama wanaopigwa vita…. ni kweli atayeingia hapo ajipange.
Uko smart kwa kichwa ankolTusiwalaumu single mothers. Hawakujitia mimba wenyewe.
Slogan yetu iwe 'USIZAE NA MWANAMKE USIYE NA FUTURE NAYE'.
Kama huna lengo la kuishi naye baadaye, usimtie mimba. Kwa sababu hakuna mwanaume atakayekuwa tayari kuoa mwanamke aliyezalishwa.
Tukishajizatiti katika hilo, hata single mothers hawatokuwepo. Kwa sababu tutawazalisha wale ambao tunajua tutadumu nao.
Kwako Studio.
[emoji28][emoji28][emoji28]Siyo wote walio oa single mothers wanapitia hizo changamoto bhana! Wapo wadau wengine wanafaidi kweli kweli mapenzi ya hao single mothers, huku wakiwa hawana mgogoro wowote ule kwenye ndoa/mahusiano yao.
Hivyo mimi nashauri vijana waoe wanawake wa maisha yao. Utakuwa ni ufala mkubwa sana kuacha kuoa single mother ambaye ni wife material, halafu badala yake ukaenda kumuoa Asha Ngedere ambaye muda wote kyupi iko mkononi! Kisa tu hana mtoto.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Wanawake ni wabinafsi kuliko kiumbe yeyote hapa ulimwenguni.
Mwanamke kitu pekee anachoweza kukipenda Kwa moyo wote ni mtoto/watoto aliowazaa MWENYEWE.lakini kamwe hawajawahi kumpenda mwanaume Kwa moyo wao wote.
Wanawake watakupenda Kwa matarajio Fulani, labda kama anaona kuna future zuri mbele yenu basi atakupenda Kwa future hiyo ndio maana wanaume mnashauriwa kuwadanganya wanawake kuwa mambo yatakuwa mazuri wasijali.
Mwanamke hawezi kukupenda kamwe Kama akigundua matarajio yake ya maisha mazuri hayapo. Labda awe mama Yako mzazi.