Endelea kubaki hivyo hvyo wenzako wanawekwa kwenye mabango wew ht kwenye status hauonekani..[emoji847]
 
Hiv mbona umeongelea sana hisia za single mother, we unazijuaje na wakati jins yako ni mwanaume! Angeongea hizi habar za hisia zao alitakiwa awe single mother mwenyew wala siyo mwanaume
 
Umeongeaa point
 
Single maza anafat msaada sio upendo ndomana unatakiwa kuwa na carefully
 
wew jamaa sasa hukuwa na hisia na demu inakuwaje mpaka ukamgegeda, mbona unataka kutuenjoy mwanawane

Hiv wewe ufukir wote wanao kugegeda wanahisia na wewe je wewe haujawah kumpa tu mtu usie mpenda ili maisha tu yaende kwa wakat huo ndugu
 
Ni sawa. Ila kujaribu kwako na kufeli hakumchafui kila single mother aliyepo dunia hii.
 
Acha uninga wewe kwani unaoa bila kupima afya? Doctor lazima apime vyote hadi circumference ya mbususu yenuewe lazima ipimwe
 
Acha uninga wewe kwani unaoa bila kupima afya? Doctor lazima apime vyote hadi circumference ya mbususu yenuewe lazima ipimwe
Looo!! unampelekea doctor mbususu hivi hivi lazima akuzalie mtoto hapo usijidanganye!!! Afya unapima kwa mcho yako tu usijirengeshe kwa madaktari vijana!! watakuchapia sana tu tuulize sisi
 
Looo!! unampelekea doctor mbususu hivi hivi lazima akuzalie mtoto hapo usijidanganye!!! Afya unapima kwa mcho yako tu usijirengeshe kwa madaktari vijana!! watakuchapia sana tu tuulize sisi
Kama mwanamke anataka kuliwa ataliwa tuu so wala usiumize kichwa kwa kiumbe ambaye anatembea n mgodi wake katikati ya mapaja
 
Akiongezea na picha za wakati wa kuaga mwili wa marehemu na picha wakiwa wapenzi trna moto moto
Kumbukeni nanyi ni maex wa watu wengine, aijalishi akuna kinachoonekana (mtoto) maana mlitoa sana mimba.
Wengine ni baba wa watoto zaidi ya wanne marehemu.
Wengine mnao mpka 10 ila amuwafahamu maana mlikataa mimba.
Wekeni akiba ya maneno
Kuwa single mother sio dhambi kuliko kuwa baba muhoga wa majukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…