Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,737
- 3,534
Endelea kubaki hivyo hvyo wenzako wanawekwa kwenye mabango wew ht kwenye status hauonekani..[emoji847]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongeaa pointFull stop single mothers sio wa kuoa mtie mimba uhudumie mwanao ni wajinga sana wengi wao wanakariri mwanaume akimpa pesa ndo anampenda wanawaacha wenye mapenzi ya kweli kwa vile hawako vizuri sana kiuchumi
Wengi nimeona ni wajinga hawana akili mwanaume kamuacha hataki kumoa eti anampost katika father's day imagine we umuoe ndo uone huku kwny status
Kati ya ujinga sifany hata mahusiano sitaki kwanza yanashobo sana ji mtu unataka kulioa unaagalia kwenye simu yule jamaa kamtelekeza kamsave my love ni wajinga sana
Kampeni kwa sisi wanaume tafuta mwanamke mbichi anzisha mahusiano nae hao single mothers achana kingine usidare na mwanamke kama hauna malengo nae kwanza unajichoresha kila demu ulale nae kip cha maana kaa tulia ili ukimpa mimba umuoe wanao waishi vizuri
Sometime ukiwa unajielewa ukishakuwa na wanao ndo furah tafuta pesa hudumia familia sio kila demu unataka umeone uchi wake mingine mikosi kwenye maisha usawa mbovu
Single maza anafat msaada sio upendo ndomana unatakiwa kuwa na carefullyMimi naona unawakosea kwasababu hamna mwanamke ambae anapenda kuwa single mother, ni huenda kuna mwanaume alimuahidi ndoa afu akachomoka.
Pia wanaume wengi sikuhizi wanatabia ya kuwaambia dada zetu kuwa tuzae kwanza mambo yakikaa poa nitakuoa.
Mimi naona ni kuangalia tabia ya mtu, kama ana tabia mbovu achana nae.. ila unaweza enda oa bikra wako na akakusumbua ukaona afadhari ya yule single mother.
Faida za kumpa stara single mother anaejielewa
1. Atakuheshimu sana maana umemstiri
2. Baraka na riziki za yule mtoto zitapitia mikononi mwako.
3. Utapata baraka hata kutoka kwa Mungu kwa kumlea yule mtoto na kumfanya asijihisi kua hana baba.
4. Umesaidia kizazi kijacho kujifunza kutoka kwako kutokumuhukumu mtu kisa alizalishwa.
5. Itasaidia watoto wa kike kupunguza kutoa mimba
Tusihukumu wote, tuangalie chanzo cha yeye kuwa single mother kwanza, tabia zake, jinsi anavyokufanya ujisikie kama mwanaume, jinsi anavyokuheshimu, baraka zake maana kuna wanawake wengine wananyota yani ukiwa nae tu unatajirika, nk
Single maza anafat msaada sio upendo ndomana unatakiwa kuwa careful
kila mtu anatafutako stable careerwise, financially all they are looking for ni male role model kwaajili ya mtoto wake, na nafasi ya kupendwa
Careful kwa wote sio single mother tu, everyone out here anajijali mwenyewe tuSingle maza anafat msaada sio upendo ndomana unatakiwa kuwa na carefully
wew jamaa sasa hukuwa na hisia na demu inakuwaje mpaka ukamgegeda, mbona unataka kutuenjoy mwanawane
Hisia mie kwanza tako liwepo bwanaHiv wewe ufukir wote wanao kugegeda wanahisia na wewe je wewe haujawah kumpa tu mtu usie mpenda ili maisha tu yaende kwa wakat huo ndugu
Hisia mie kwanza tako liwepo bwana
Hapana bwana lazima kuwe na kitu kinakuvutia bwana...mie tako liwepo[emoji28]
Sisi wanaume uwa ni nyege tu ndo mana tunatembea ata na chizi mkuu hatutembei na mtu et kisa tunapenda
KumbeSawa tunashukuru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kubaki hivyo hvyo wenzako wanawekwa kwenye mabango wew ht kwenye status hauonekani..[emoji847]
Ndo ivoKumbe
Hapo anajifariji kwasababu kaoa single mother, labda alimpimaManeno ya kujifariji hayo
Kwan huyo singo maza una uhakika gani kwamba hajawahi kutoa mimba?
Utakuta mzazi anamgombeza mwanaye asioe mwenye mtoto hapohapo huyo mwanaye anababa wakambo 3 [emoji23][emoji23] ujinga tu.Mi wazazi wananichana live aisee ,yni hao ni sogea tukae eti nikamlipie na mahari se
Kabisa mi binafsi ntawaheshim nitawajali singo mm ila sitawaow perior
Ni sawa. Ila kujaribu kwako na kufeli hakumchafui kila single mother aliyepo dunia hii.Shida hapa sio maisha kuwa na formula ama vipi, shida ni kuoa single mother hawa wa kisasa ambao wanaishi kwa kuhisi mahusiano ni biashara ya nipe nikupe.
Sasa wewe unaongelea story hizi za moja katika mia moja. Sisi tunakwambia yanayojiri. Mimi nilishajaribu na hawa viumbe. So nikisema naongea niliyoyaobserve.....
Acha uninga wewe kwani unaoa bila kupima afya? Doctor lazima apime vyote hadi circumference ya mbususu yenuewe lazima ipimwesasa ikinyweka kidogo haishukiii!! ndo maana mnadanganywa ok! huyu kazaa watoto watatu! lkn mwngine hana mtoto kweli ila alitoa mimba saba! na kizazi kango'a utapiga mashine weeee olaaa!
siku umri umeenda na unawaza kwenda nje unaishia kwa huyohuyo mwenye watoto saba!.....huyu huku hamna kitu! na mali utamgawia, no bora uchukue huyu una uhakika atakuzalia tu sababu kizazi kipo ushahidi ni hao watoto wake!
lkn ambae hana mtoto na wewe huna!!...... hata wewe hutajiamini km una kizazi! hata km unae mmoja huko nje hutaamini ni wako mbaya zaidi km yuko km mama yake!! beba huyu mwenye watoto dogo uwe na uhakika!
Looo!! unampelekea doctor mbususu hivi hivi lazima akuzalie mtoto hapo usijidanganye!!! Afya unapima kwa mcho yako tu usijirengeshe kwa madaktari vijana!! watakuchapia sana tu tuulize sisiAcha uninga wewe kwani unaoa bila kupima afya? Doctor lazima apime vyote hadi circumference ya mbususu yenuewe lazima ipimwe
Kama mwanamke anataka kuliwa ataliwa tuu so wala usiumize kichwa kwa kiumbe ambaye anatembea n mgodi wake katikati ya mapajaLooo!! unampelekea doctor mbususu hivi hivi lazima akuzalie mtoto hapo usijidanganye!!! Afya unapima kwa mcho yako tu usijirengeshe kwa madaktari vijana!! watakuchapia sana tu tuulize sisi
Kumbukeni nanyi ni maex wa watu wengine, aijalishi akuna kinachoonekana (mtoto) maana mlitoa sana mimba.Akiongezea na picha za wakati wa kuaga mwili wa marehemu na picha wakiwa wapenzi trna moto moto