Inabidi akuweke wazi kama hakuna uwazi basi hakuna mapenzi ya kweli.
Kibaya ni kwamba, katika mazungumzo ya watu wawili uwa kila mmoja anakuwa na uelewa wake.
Unaweza mwambia mwenzio mambo akajibu marahaba, hapo tayari amjaelewana
Na wengi ni waoga wa kipokea ukweli.
Na wengine ni waoga wa kuzungumza makosa waliyotenda nyuma
 
Mbaali na yooote hayo kwanza single Maza wengi ni wazuri mnoo!! kwa sura, umbo na tabia ndo maana mijamaa ili wawahi kuwapachika mimba..... na mijamaa wengine wana roga kabisa wampate demu mzuri!! wapate mbegu tu!!

Kwa hiyo demu mzuri/ mrembo ana vita nyingi kali tokana na uzuri wake!...ina bidi wazazi/ kaka/dada wamlinde hasa! vinginevyo hachomoki! hawa si watu wa kuwaacha hovyo hovyo!

Si mnamuona yuleeeee!!! mama waziri yaani kasoma yule lkn mpaka leo holaaa! hana mume!...hata house boy wake hamtaki!!....itafika mahala wanakufa kwa kansa ya kizazi!! manake tumbo la uzazi lina taka kunyumbuliwa mara kwa mara na mimba! maziwa hayo yanyonywe hasaaa yawe km ndala!

sasa wewe tannguuu usichana, maziwa hayaja nyonywa!!! tumbo halija shika kitu!....ni mabaki ya Bleeding tuuuuu! miaka nenda miaka rudi....sasa matokeo yake ndo hayo tumbo lina ota ukoko!!...utakao badirika na kuwa Kansa ya kizazi! maziwa pia!

Mungu kaumba mwanamke wa kiafrica kutoa/kuzaa watoto wa wastani 16!! wewe huzai kabisaa!! sasa minyama namayai hayo yooote yanaenda wapi??? lazima yakutafune!!ukufe uwe udongo wa mbolea utoe mazao wengine wakule!.....Mungu aliposema ''nendeni mkazaane mkaijaze Dunia alikuwa hataniii!!!

Wewe mama/dada/kaka puuza hili la kuzaana makaongezeke ufe kwa kansa ya kizazi!.....kenge kabisaa!!!! niwafundishe mpaka lini
 
Genius at work
 
Kuolewa ni haki yenu, kupendwa kama awali ni haki. Hoja yangu iko hivi;

1. Mdada/Mwanamke aliolewa awali mahari ikatolewa, ndoa ikafungwa, sherehe kubwa ikafanyika, Kwenye ndoa akazaa mtoto au watoto baadaye mambo yakawa siyo mambo ndani ya ndoa akaachika na talaka ikatolewa.

2. Mdada/Mwanamke anazalishwa na mwanaume zaidi ya mmoja kwa lugha nyingine anawatoto wawili au zaidi

3. Mdada/Mwanamke aliolewa na taratibu zote zikafuatwa lakini kwa bahati mbaya mume alifariki .

Katika hizo scenerious tatu single mother huyu anapopata mwenza kwa mara nyingine (Always there is second chance in life)huanza kudai mahari itolewe kwa wazazi wake tena, sherehe kubwa ifanyike tena izidi Ile ya awali ya mwanaume mwingine.
Mytake

1. Je, huu ni uugwana?

Single mother thamini nafasi ya pili uliyopewa maana mpaka mwanaume amekupenda pamoja na kuwa umewahi kuolewa, una mtoto/watoto wa mwanaume mwingine na pengine hata unatalaka ya mwanaume mwingine.
Pamoja nakuwa upendo haungalii mengine lakini usimpe gharama mwanaume huyu.
 
Ebu muachege dharau nyie watu, ulilazimishwa kutaka kuoa uyo single mama? Si limoyo lako na hisia zako ,basi fanya kile utaratibu unataka au uyo single mama anataka

Huwezi kutoa io mahari na kufanya sherehe kaoe ambae ni mbichi hajawahi kuzaa wala kuolewa,si wapo wengi tu uko mitaani kwenu au mpka ukashoboke kwa single mama afu uku bado una mshusha viwango ukiamua kufanya fanya mpka mwisho si mnaleta hoja zenu katikati ya ufanyaji

Sijui mnawaonaje awa viumbe single mama wakati ndo dada zenu,wengne mama zenu na mama wa watoto zenu khaa!!
 
Ooooh nimekuelewa ,ujumbe umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…