DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hao unaowapigia debe wengi wao wana akili za kitoto hivyo ukioa unakuwa kama litoto tu, ila kwa single mother hawanaga utoto utoto wakipendana na mwanaume
Ujanijibu bado Single mother mjane au single mother aliye telekezwa/kutarakiana na mzazi mwenzie?Alikuwa single mom na umri ulikuwa umeenda Ila aliolewa tu na kijana tena mtumishi wake mwaminifu
Walishindwa vipi kuolewa na waliowazalisha ? Au ndio walikuw na utoto. Of course ukijipeleka kwa single mother lazima akugande maana anajua alishajiwekea doa. Muoe muweke ndani uanze kuona balaa lake. Wapo wanaobehave , ila wengine ni pasua kichwa tu mkiiingia kwenye ndoa..just kama hawa wasiozaa..wapo wanafaa na wapo wasiofaa.Hao unaowapigia debe wengi wao wana akili za kitoto hivyo ukioa unakuwa kama litoto tu, ila kwa single mother hawanaga utoto utoto wakipendana na mwanaume
Acha uogaMuoe muweke ndani uanze kuona balaa lake.
Swali lako lipo nje na mada, Ila ukitaka kufuatilia kwa undani kuhusu ndoa ya bi khadija ingia tu Google utapata jibu hukoUjanijibu bado Single mother mjane au single mother aliye telekezwa/kutarakiana na mzazi mwenzie?
Alaf hapo tu umri ulikuwa umeenda pia ni point ya ushawishi kwa kijana kulipa kama utaweka utume wake pembeni utanielewa nini namaanisha
Rafiki achana na ma-single mother, ata hawa mabinti wa kichina, tunaoa wameisha utamu, ni rangi ya body tu na shape za "broiler" vilivyosalia, tunalia ndani ya mashuka tunapokumbuka posa na mahari zilivyokuwa kubwa...Kumbe upo kibanda umiza 😂😂
Hii sio kampeni mkuu bali tunaeleweshana tuNa acheni kuwapigia kampeni.
We ni muoga halisiRafiki achana na ma-single mother, ata hawa mabinti wa kichina, tunaoa wameisha utamu, ni rangi ya body tu na shape za "broiler" vilivyosalia, tunalia ndani ya mashuka tunapokumbuka posa na mahari zilivyokuwa kubwa...
Sasa vipi uongezee na machungu ya kuona sura ya mwanaume mwenzio inakupigia kelele ndani eti haijashiba au haujailetea zawadi...??...😥😥😥🤕🤕
Bas na ww ushawishi watu kufanya kitu kwa kutumia ushawishi ambao haujakamilika kwa kutegemea Google ipo kama vile Google ndio iliyoanzisha uziSwali lako lipo nje na mada, Ila ukitaka kufuatilia kwa undani kuhusu ndoa ya bi khadija ingia tu Google utapata jibu huko
Mwanamke amesha kupa sababu za kike kabisa ila unabisha na wewe ni mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23] kweli wanaume wengi ni vilazaUnadhani hao wanaume wana akili sana kwa kuwaogopa single mother?
Single mother ni wazuri sema tu wanaume ni waoga.
Ilo ni jambo moja, la pili ni hasira.Tatizo singlemom kukumbushiana na baba mtoto.....hiyo bila kufichaficha inakatisha tamaa mkuu
Hasa hao wanawaogopa single momskweli wanaume wengi ni vilaza
Ubarikiwe mkuu kwa kuijua hiyo siriAliyezaa ndio mtam zaidi huwezi amin
Anamzidi mwenye mimba?Aliyezaa ndio mtam zaidi huwezi amin
Umesoma na kuelewa kichwa cha bandiko?Bas na ww ushawishi watu kufanya kitu kwa kutumia ushawishi ambao haujakamilika kwa kutegemea Google ipo kama vile Google ndio iliyoanzisha uzi
Nina experience na hii kitu...Ubarikiwe mkuu kwa kuijua hiyo siri
Nimekuelewa sana mkuuNina experience na hii kitu...
Upo kundi gani mkuu?Wana stress wale