Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kiukweli hakuna ubaya kumchumbia single mother na kumuoa huyo mama asiye na mwenzi. Hata kama amezaa, mtoto aliyemzaa na mwanaume mwingine ni baraka kabisa.

Cha muhimu ni kwamba nyote wawili mnapendana na mmejitolea kufanya uhusiano wenu ufanye kazi. Hivyo ukimpata single mother na mkapendana nyote muoe tafadhari hata kama ana watoto watatu oa tu.

Mtume Muhammad ni mfano wa kuigwa hakumuogopa bi Khadija. Jifunzeni kwa huyu mtumishi.

Enyi wanaume waoga acheni ushamba.
ID yako imesadifu mawazo na mambo yanayofanyika pale kambi ya fisi.....
 
Huyo bi khadija alikuwa mjane au aliyeterekezwa/mtarakiwa ?

Maana vijana wanaogopa singlemother walio tengana na wazazi wenzao na hao wazazi wenzao bado wapo hai na sio single mother ambao ni wajane.
 
Na wewe nikupeleke ktk kundi la wanaume waoga?
Sasa we kambi ya fisi unajua huku mtaani wanawake ambao hawajazaa ni wengi Sana sasa ukioa single mother je inakuaje kwa hawa ambao wamejitunza na hawajazalishwa binafsi uo ni ukatili wa kihisia Kuna mademu wabichi wamemaliza form four na hawana watu wakuwaoa then tuwaache ao tuvamie mademu ambao wamezalishwa ina make sense?
 
wanawake ambao hawajazaa ni wengi Sana sasa ukioa single mother je inakuaje kwa hawa ambao wamejitunza
Hao unaowapigia debe wengi wao wana akili za kitoto hivyo ukioa unakuwa kama litoto tu, ila kwa single mother hawanaga utoto utoto wakipendana na mwanaume
 
Back
Top Bottom