Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwakaMonalisa kazaa na watu watatu 1. Tyson 2. Mwaka 3. Mpemba aolewe na Nani hapo?
NB: Hapo bado anatamani ndoa eti.
Unadhani hao wanaume wana akili sana kwa kuwaogopa single mother?Tatizo singlemom kukumbushiana na baba mtoto.....hiyo bila kufichaficha inakatisha tamaa mkuu
Naanza kuhesabu wanaume waogaKila mtu aolewe na aliyemzalisha
Naendelea kuhesabu wanaume waoga..Wanawake ambao hawajazaa wapo nihangaike na single mother wa nini kwanza hawajui wanataka nini
Inaonesha umewazalisha wengi kiasi unawatafutia sokoKiukweli hakuna ubaya kumchumbia single mother na kumuoa huyo mama asiye na mwenzi. Hata kama amezaa, mtoto aliyemzaa na mwanaume mwingine ni baraka kabisa.
Cha muhimu ni kwamba nyote wawili mnapendana na mmejitolea kufanya uhusiano wenu ufanye kazi. Hivyo ukimpata single mother na mkapendana nyote muoe tafadhari hata kama ana watoto watatu oa tu.
Mtume Muhammad ni mfano wa kuigwa hakumuogopa bi Khadija. Jifunzeni kwa huyu mtumishi.
Enyi wanaume waoga acheni ushamba.
Sijakataa kuwa hawaolewi bali nimesema wanaume wanawaogopa sana hao single mother.Wanaolewa kila siku. Usidanganyike na utafiti wa Afrika ya mtaani kwenu.
AiseeInaonesha umewazalisha wengi kiasi unawatafutia soko
Naendelea kuhesabu wanaume waoga..Inaonesha umewazalisha wengi kiasi unawatafutia soko
Usimuamini kololaAisee
Kwanza mimi nikiona aliyezaa naona kama katoka barabarani. Afadhali Wema kuliko Kajala (kesha totoa)Naendelea kuhesabu wanaume waoga..
3. Kolola 😀
WalaaUsimuamini kolola
Na wewe nikuweke ktk kundi la wanaume waoga?Ambao hawajazaa inawezekana ni wengi kushinda walio zaa sasa tukisema tuwafuate walio zaa tutakua tunafanya ukatili wa kihisia kabisa kwa ambao hawajazaa wataolewa na nani sasa, alafu uliona wapi mechi ikaanza moja bila