Mechi kabla hata haija Anza tayar timu Moja inaongoza Moja bila....🤓🤓🤓🤓
Bagosha it's not fair 🚭🚫
 
Ukijiuliza kwanini alikuwa single mother utajua kwanini wanamuogopa
 
Binafsi naona scenario mbili hapa.

1. Waislam wao nadhani sio issue sana kuoa single mother. Wao naona wakioana sana, shida ipo kwa Wakristo.

2. Single mom wa watoto wa kiume wanaweza kukupa shida sana, watoto wa kiume wakiona mama yao anadate na mtu asiye baba yao wanaweza kuleta tafrani ndani ya nyumba balaa.

Hata hivyo iwe choice ya mtu, some ladies are decent sana japo kweli ni single moms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…