Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Siku akipata financial relief basi mapenzi yanarudi, hii case ipo sana yani. Mbaya zaidi mwanamke ndio anaendelea kuliwa ikiwa mtu kashajitusu kumuweka ndani.Kuna watu wana achana na maEx wao bila ya wao kupenda Sabab inaweza kua financial constraints...
Differ in interest na zingine nyingi....
For sure kuoa single mama ni uwekezaji mbovu