Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kumbe Yusufu alikula mlaji wa mzigo wa bikra maria baada ya Yesu kuzaliwa 😀😀😀 haya mambo yameanzia mbali sana.Achana na mtume tu ata mama yesu aliolewa na yosefu kana single mother, ila sio hawa wa sasa
Sema amini kwamba zama hizo kulikuwa na hofu ya kweli ya Mungu. Sahizi hofu ya kweli iko kwenye pesa tu Mungu watu wamemuweka kando ila hekima na upendo viko kwa Mungu pekee.