Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Achana na mtume tu ata mama yesu aliolewa na yosefu kana single mother, ila sio hawa wa sasa
Kumbe Yusufu alikula mlaji wa mzigo wa bikra maria baada ya Yesu kuzaliwa 😀😀😀 haya mambo yameanzia mbali sana.

Sema amini kwamba zama hizo kulikuwa na hofu ya kweli ya Mungu. Sahizi hofu ya kweli iko kwenye pesa tu Mungu watu wamemuweka kando ila hekima na upendo viko kwa Mungu pekee.
 
Mbona harusi nyingi mjini Ni masingle mother?utaona Kuna kaboy au kagirl kanavibe ukumbini utasikia mtoto wa Bibi harusi
Si ndio maana ndoa zinavunjika Sana , takwimu zinaonesha Kwa mwezi Dar zinavunjika ndoa 300. Maana yake Kwa mwaka zinavunjika ndoa 3600. Kumbuka hii ni Dar Tu na hizi ni talaka zinazoripotiwa pale Rita.

Hatujazungumzia ndoa za watu kuachana Juu Kwa juu.

Ingia hapa ujisomee Ndoa 300 zavunjika Dar kwa mwezi

Bado hatujaweka talaka za mikoani

Kwahiyo watu WAnaweza kuwa wanaoana Ila wanaishia njian kuachana.
 
Tatizo hapo Sasa bwana harusi alizaa sehemu kaacha single mother,halafu akaenda kuoa single mother aliyeachwa na mwenzie 🤗🤗🤗hapo Sasa Ni kizungu mkuti
 
Tatizo hapo Sasa bwana harusi alizaa sehemu kaacha single mother,halafu akaenda kuoa single mother aliyeachwa na mwenzie [emoji847][emoji847][emoji847]hapo Sasa Ni kizungu mkuti
Ndio maana nikasema single Maza aolewe baada ya mwanaume kujiridhisha Kwa kuona kaburi la huyo X wake aliezaa nae kinyume na hapo mnaenda kuishi maisha ya hovyo.

Na Kwa wanawake waliojaa duniani hapa Kwanini ukaoe MTU aliezaa
 
Tatizo hapo sio mwanamke,tatizo ndoa za siku hizi wanandoa wote Ni single parent,Kama unahisi bi harusi anaenda kupasha kwa mzazi mwenzie lakini usipuuzie pia bwana harusi nae ana masingle mother wake zaidi ya mmoja anaopasha nao ..kwa Nini lawama ziende upande mmoja?
 
Binafsi naona scenario mbili hapa.

1. Waislam wao nadhani sio issue sana kuoa single mother. Wao naona wakioana sana, shida ipo kwa Wakristo.

2. Single mom wa watoto wa kiume wanaweza kukupa shida sana, watoto wa kiume wakiona mama yao anadate na mtu asiye baba yao wanaweza kuleta tafrani ndani ya nyumba balaa.

Hata hivyo iwe choice ya mtu, some ladies are decent sana japo kweli ni single moms.
I come to realize that Kuna mdada nilimkosea kiasi sikustahili msamaha...
Ilikua zamaan sanaa..

Alini block every where nili mtafuta Ili tu nimwombe msamaha only that Ili Kila mtu aendelee na maisha yake.....

am 4 real nilienda ofsn kwake alipo niona tukatizamana macho akajaa hasira nika mweleza nimekuja kumwomba msamaha....

Nilicho jua nisinge samehewa

Akakataa msamaha na KUENDELEA kua na makasiriko kias Cha kuto taka kuniona....

Nakumbuka tulipo endelea kutazamana aka Anza kulegea tuka kumbatiana kilicho fuata......

Akanambia yaan nikiyaona MACHO na LIPS zako huwaga siwez kukutatalia kitu...
Ni mtu ambae Hukuwai ni omba hata shilling mia na siku zote alikuaga ananambia mm NDIO dream man wake....

So kweny ma Ex don't Bet for real 😊🤓 watu wana watu wao....
 
True
 
Kwa hiyo mlipasha kipolo?
 
Love doesn't ask why, ikitokea imetokea, lakini pia watu wana machaguo kuna mwingine kuoa au kuolewa na mtu mwenye mtoto sio shida, na kuna mwingine anataka mtu ambae ataanza nae yeye bila makando kando, lakini as i said love doesn't ask why, unaweza panga hivyo lakini ukakutana na single dad au mother ukafall in love mkayajenga
 
Back
Top Bottom