Kuna watu wana achana na maEx wao bila ya wao kupenda Sabab inaweza kua financial constraints...

Differ in interest na zingine nyingi....

For sure kuoa single mama ni uwekezaji mbovu
Siku akipata financial relief basi mapenzi yanarudi, hii case ipo sana yani. Mbaya zaidi mwanamke ndio anaendelea kuliwa ikiwa mtu kashajitusu kumuweka ndani.
 
Matatizo matatizo matatizo
 
Kama ni single mami wa kichaga jua lazma wakupige kazi yeye na mwanae ili apate urithi.
 
Mtume Muhammad alimuoa bi Khadija aliyekuwa ameachika kwa mumewe, je unataka kusema kuwa mtume naye alilaaniwa kwa kuoa single mother?
Achana na mtume tu ata mama yesu aliolewa na yosefu kana single mother, ila sio hawa wa sasa
 
Na aliyesababisha u single mother wa huyo single mother ndio huyo huyo mwanaume anayemuogopa single mother πŸ˜‚
Sasa unakuta sababu ni recklessness yake mwanamke mara nyingi huwa wanawake wanafosi kuzaa na watu wakati hawajawa na utayari. πŸ˜€
 
Binafsi namuunga mkono mtume alikuwa sahihi wala hakuyumba kwa kumuoa bi khadija
Sema sasa kitu kimoja cha Tofauti bi Khadija alikuwa umri umeenda japo ni pisi kali. So hakuwa na mambo ya kijinga halafu pia alikuwa mjane sio kwamba alikuwa malaya. Ina maana mumewe alikufa so mtume akaamua amsitiri.
 
Sasa unakuta sababu ni recklessness yake mwanamke mara nyingi huwa wanawake wanafosi kuzaa na watu wakati hawajawa na utayari. πŸ˜€
Sasa ukishamzalisha ndio umkimbie?

Akikufosi kumzalisha we toka nduki kama alivyofanya Yusufu mbele ya mke wa boss wake πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa ukishamzalisha ndio umkimbie?

Akikufosi kumzalisha we toka nduki kama alivyofanya Yusufu mbele ya mke wa boss wake πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi mwanamke akimua kukubebea mimba unafikiri utajua. Si anakuvizia denja days anakumwanulia yote πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ we utashangaa report tu.
 
Ina maana mumewe alikufa so mtume akaamua amsitiri.
Mtume alikuwa mume wa 3 kwa bi khadija.
Ni kweli mume wa kwanza wa bi khadija alifariki, baadae aliolewa na mume mwingine kisha wakapeana talaka na ndipo alipokuja kuolewa na mume wa tatu (mtume)

Tunza hii historia
 
Huyo Bi. Khadija inaonesha alikuwa mrembo sana kama Zari 🀣 af lazma mtume alichepuka nae kipindi anazinguana na mume wake wa pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…