sahihi kabisa mkuu,ila pia umesahau hatama kama una haiba,wewe ni tajiri,wewe ni handsome ila kama haumpelekei moto kisawasawa bado atapigwa miti tu

Hiyo factor ni constant alafu Hii inahusu Faragha.
Kumbuka Mwanamke anahitaji Watoto WAZURI, na watoto wazuri wanapatikana ka mbegu za wanaume wazuri.
Pili, Mwanamke anahitaji Huduma zake na zawatoto wake. Hapo ndipo Pesa inapoingia.
 
Uwe na Pesa alafu uwe na haiba, kisha uwe na nguvu za KIUME.
Mwanamke hawezi kukusumbua.
Migogoro itakuwa NI Ile ya Maisha ya kawaida
Siamini kama unaweza kupata hata 1% ya wanaume wenye pesa + Haiba + Nguvu za kiume
Unajua sayansi ya kuwa na pesa ni kuwa UNCOMFORTABLE. Msidanganyike na ma Model wa kwenye TV wale ni masikini. Huwezi kuwa mtu busy na business zako alafu unawaza kumpiga demu magoli matano hizo ni ndoto za watu masikini.

Ndio maana nasema mwanamke hawaeleweki akipata mtu mwenye six pack atakosa pesa, akipata mtu mwenye pesa atapata kitambi sio mwonekano, Akipata mtu mwenye uwezo wa kupiga goli tano mtu huyo hataweza kumnunulia iphone 14

Kwahiyo Mwanamke kamili anajua hakuna mtu perfect awe mwenye hela au asie na pesa. Ndio maana case yako hai-apply
 
Kumbuka ukifa ukiwa kijana hivyo mkeo atakuwa single mother!! Au hata ukiachana nae pia

Kwahiyo utataka tumuache tu kiunyonge mpk akufe bila wasamaria wema kumnusuru..

Acha ubinafsi .Single mother Ni idealistic concept tu.. vijana wengi mliochini ya miaka 30 ndio mnatupigia kelele humu.
 

Ni MTU mjinga anayeshindwa kutofautisha single mother na A widow.

Pili, hakuna sehemu nimazuia mtu asieo single mothers

Tatu, kuoa Mwanamke single mother sio usamaria Wema, kuoa ni ishu ya upendo.
Hakunaga upendo wa huruma

Nne, Vijana WA umri huo ulioutaja ndio wengi wanawachapia wake zenu ninyi mnaojiona wakubwa kiumri
 
Sawa kabisa mkuu heshima kwako .....
 
Wanaume,

Hii tabia ya "Kujiona Spesho/Wakipekee", imewapoteza Vijana wengi sana. Waliamini kisa wana Mali/mionekano kuzidi Baba watoto aliyezalisha, basi wanaweza kuwatuliza Single Mothers. ila cha Moto walikiona, wanakiona, na wengine wanaobisha hapa watakiona.

Women are loyal to their Feelings. Wanawake wanajali sana hisia zao kuliko kitu chochote. Hizi Materia things kwa Wanawake ni takataka tu. Linapokuja swala la hisia zao, Mwanamke analala na mtu yeyote, sio Kapuku tu. Ni yeyote

OA single Mother, at your own Risk.
 

Hakuna mwanamke kamili๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ hiyo ikae kwenye Akili.

WANAWAKE NI VIUMBE wenye madhaifu mengi madogo madogo, Mwanamke anahitaji mwanaume aliyekamilika Kiakili, kihisia, kiuchumi, Kiroho, na kimaumbile ili kuficha madhaifu yake(madhaifu ya Mwanamke).
 
safi wewe unajua


Nenda Magharibi rudi mashariki Wanawake wanaendeshwa na emotions na empathy wewe tafuta hela na uwe handsome sijui haiba kama hamconnect emotionally hamtafika.
 

Ndio maana Wanawake inasadikika wanaakili katika Muktadha wa Aina hiyo.
Kuaminisha wanaume wajinga Kwa maneno Yao ya Uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ