Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wanaume,
Hii tabia ya "EXCEPT ME", imewapoteza Vijana wengi sana. Waliamini kisa wana Mali/mionekano kuzidi Baba watoto aliyezalisha, basi wanaweza kuwatuliza Single Mothers. ila cha Moto walikiona, wanakiona, na wengine wanaobisha hapa watakiona.
Women are loyal to their Feelings. Wanawake wanajali sana hisia zao kuliko kitu chochote. Hizi Materia things kwa Wanawake ni takataka tu. Linapokuja swala la hisia zao, Mwanamke analala na mtu yeyote, sio Kapuku tu. Ni yeyote
OA single Mother, at your own Risk.
Mwanamke hawezi kulala na Mwanaume yeyote, huyo sio Mwanamke.
Mwanaume ndiye anaweza kulala na mwanamke yeyote.
Wanawake kiasili ni wabaguzi, selective