Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Wanaume,

Hii tabia ya "EXCEPT ME", imewapoteza Vijana wengi sana. Waliamini kisa wana Mali/mionekano kuzidi Baba watoto aliyezalisha, basi wanaweza kuwatuliza Single Mothers. ila cha Moto walikiona, wanakiona, na wengine wanaobisha hapa watakiona.

Women are loyal to their Feelings. Wanawake wanajali sana hisia zao kuliko kitu chochote. Hizi Materia things kwa Wanawake ni takataka tu. Linapokuja swala la hisia zao, Mwanamke analala na mtu yeyote, sio Kapuku tu. Ni yeyote

OA single Mother, at your own Risk.

Mwanamke hawezi kulala na Mwanaume yeyote, huyo sio Mwanamke.
Mwanaume ndiye anaweza kulala na mwanamke yeyote.

Wanawake kiasili ni wabaguzi, selective
 
Ni MTU mjinga anayeshindwa kutofautisha single mother na A widow.
Mkuu,shule ulienda kufanya nn maana unaonekana una double standards kuhusu definition ya single mother.

Mwanamke akiachwa au kufiwa Hali ya kuwa ana watoto huwa na sifa mbili
1.single mother
2.Widow .. ukimtambua kwa sifa moja TU kuwa Ni Widow na sio single mother hiyo Ni bagosha
 
Wanaume,

Hii tabia ya "EXCEPT ME", imewapoteza Vijana wengi sana. Waliamini kisa wana Mali/mionekano kuzidi Baba watoto aliyezalisha, basi wanaweza kuwatuliza Single Mothers. ila cha Moto walikiona, wanakiona, na wengine wanaobisha hapa watakiona.

Women are loyal to their Feelings. Wanawake wanajali sana hisia zao kuliko kitu chochote. Hizi Materia things kwa Wanawake ni takataka tu. Linapokuja swala la hisia zao, Mwanamke analala na mtu yeyote, sio Kapuku tu. Ni yeyote

OA single Mother, at your own Risk.
Nakubaliana na wewe 100% kuwa women are loyal to their feelings! Kuna mama mmoja wa kizungu alikuwa na polisi mwenye kila kitu lakini siku moja akaamua kuuza kila kitu na kutoroka na mfungwa muuaji aliyekuwa anamzindikiza mahakamani. Huu mfano mdogo tu. Lakini my friend hii principle ina-apply under certain circumstances.
 
Mkuu,shule ulienda kufanya nn maana unaonekana una double standards kuhusu definition ya single mother.

Mwanamke akiachwa au kufiwa Hali ya kuwa ana watoto huwa na sifa mbili
1.single mother
2.Widow .. ukimtambua kwa sifa moja TU kuwa Ni Widow na sio single mother hiyo Ni bagosha
Kibongobongo watu ukisema single mother watu wengi wanachukulia mwanamke aliyezaa na kuachwa kwenye ndoa au ambaye alizalishwa bila kuolewa.
 
A widow hayupo kundi la single mother,
Single mother ni mwanamke mwenye Watoto ambaye aidha ameachwa Kwa talaka au ambaye hajaolewa.

Humu ndani uliwahi kusikia wanaume hasa vijana wakiwa na tatizo na wajane?
Hakuna ambaye anashida na mjane, huyo kwenye kuolewa haisumbui.

Mjane mifumo yake ni tofauti na single mother,
Pia kisaikolojia na kihisia mjane ni tofauti na single mother.
 
Kibongobongo watu ukisema single mother watu wengi wanachukulia mwanamke aliyezaa na kuachwa kwenye ndoa au ambaye alizalishwa bila kuolewa.

Ndio iko hivyo.
Hiyo ndio maana ya Single mother.

Huyu Mkuu anashindwa kuelewa anazungumzia makundi mawili tofauti ya Wanawake.

Waiter Single mothers na wajane alafu waambiwe wazungumze haya Kwa dakika tano utaona wanatofauti Kwa asilimia 90%
 
Wanaume,

Hii tabia ya "EXCEPT ME", imewapoteza Vijana wengi sana. Waliamini kisa wana Mali/mionekano kuzidi Baba watoto aliyezalisha, basi wanaweza kuwatuliza Single Mothers. ila cha Moto walikiona, wanakiona, na wengine wanaobisha hapa watakiona.

Women are loyal to their Feelings. Wanawake wanajali sana hisia zao kuliko kitu chochote. Hizi Materia things kwa Wanawake ni takataka tu. Linapokuja swala la hisia zao, Mwanamke analala na mtu yeyote, sio Kapuku tu. Ni yeyote

OA single Mother, at your own Risk.
Point taken
 
Naomba kuunga mkono na miguu hii hoja.
Tatizo.unajua, afu unajua halafu unajua hadi sio vizuri yaani.

Hapa nina shoga angu mmoja. Alizaa na mwanaume hana hata hela na sio mzuri wakaachana kutokana na mwanaume kushindwa kuprovide matumizi kwa wakati.

Huyu bibie akapata mwanaume tajiri ana pesa ndefu. Kitu ambacho hamuwezi kuamini hadi vyeti vya mtoto aliyezaa na jamaa sasa hivi vinasomeka jina la mwanaume mpya ambaye ni tajiri. Mtoto shuleni anaitwa kwa jina la baba wa kambo. Chezea pesa wewe?

Ukitaka kugombana na huyu bi dada mkumbushe kwamba aliwahi ku date yule baba halisi wa mtoto. Anakuwa mkali balaa.
 
Hapana Mkuu.
Kama aliyemchukua kakuzidi wewe Kwa kila kitu iwe kifedha na kimwonekano nakuhakikishia hata umshawishi vipi hatoweza kukubali.
Kwanza ataona alipoteza mwelekeo, yaani atakuona kama mkosi na ulimbahatisha.

Wengine mpaka wanafikia hatua na watoto wanabadilisha majina yao, yaani wewe Watoto wako lakini hawaitwi ubin wako.

Ukiona umemshawishi mwanamke uliyezaa naye alafu ameolewa ukamlamba tena ujue huyo aliyemuoa hamtofautiani Sana. Yaani mpo level moja tuu. Au kama kakuzidi ni Kidogo Mno.

Hivyo ndivyo Wanawake wanavyofanya mishe zao.
[emoji419][emoji1007][emoji375][emoji375]
 
Naomba kuunga mkono na miguu hii hoja.
Tatizo.unajua, afu unajua halafu unajua hadi sio vizuri yaani.

Hapa nina shoga angu mmoja. Alizaa na mwanaume hana hata hela na sio mzuri wakaachana kutokana na mwanaume kushindwa kuprovide matumizi kwa wakati.

Huyu bibie akapata mwanaume tajiri ana pesa ndefu. Kitu ambacho hamuwezi kuamini hadi vyeti vya mtoto aliyezaa na jamaa sasa hivi vinasomeka jina la mwanaume mpya ambaye ni tajiri. Mtoto shuleni anaitwa kwa jina la baba wa kambo. Chezea pesa wewe?

Ukitaka kugombana na huyu bi dada mkumbushe kwamba aliwahi ku date yule baba halisi wa mtoto. Anakuwa mkali balaa.

Hiyo mbona iko wazi, wala haihitaji kuwa na Akili nyingi au kusomea mpaka PhD ili kuielewa.

Wanawake ni tofauti na Sisi wanaume.
Sisi wanaume tunapooa tunaoa Kwa sababu tunayemuoa tunampenda hasa.
Lakini Wanawake anaweza kuolewa Kwa sababu mazingira na muda umemlazimisha kufanya hivyo.
Anaweza asiwe mwanaume WA ndoto zake lakini afanyaje.

Kijana anaenda kuoa Mwanamke aliyezalishwa na mwanaume wa hadhi na level ya juu alafu hapohapo analazimisha Pasiwepo mawasiliano 😂😂😂
Mpaka unajiuliza huyu kijana kalogwa au?
 
Back
Top Bottom