Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Utajiri na umasikini ni state of mind, kwenda mlimani city si kuwa na pesa na kutoa laki kanisani sio kuwa na pesa bali ni priorities za maisha.Mtu huna pesa umefika mlimani city au hoteli nzuri unajiamini vipi?
Mtu haujavaa nguo nzuri kisa hauna pesa utajiamini vipi?
Mtu umeenda Kanisani, kuna harambee Watu watoe laki mojamoja alafu mfukoni Una elfu tatu ya nauli, utajiamini vipi?
Umeenda Hospital, huna pesa utajiamini vipi?
Unajua hawa Vijana WA sasa Wanafikiri wanaota ndoto
Vijana wengi mnapata depression kwa sababu mnadhani ukipata hela lazima ung'oe mwanamke mzuri uende mlimani city ku-spend NOOO!
Kuna sehemu yake ukimgusa mwanamke anaanguka mzima mzima wewe jenga nyumba nunua Vogue lakini kuna siku utajipiga bastola kwa sababu umeshindwa kumwelewa mwanamke. Ili uelewe hii lazima uwe na kitu inaitwa EMOTIONAL INTELLIGENCE
Sasahivi mnaongea sababu mndesire ya kuwa na pesa.