Najaribu kuvaa viatu vyao, hivi wanajuta, wameamua kujikaza, au wameshazoea, au hizi mada haziwasumbui? Maana mnawadiscuss kila siku na mmewageuza "special group"

Wakuu punguzeni naamini ukiachana na wale ambao waliamua kulea wenyewe basi wengi wao hawakupenda iwatokee hivyo, wanaume punguzenu aisee mnatumia maneno makali sana!
 

Sio Kwa kizazi hiki Mkuu.
 
Unamzidi yote then poor in bed, bado tu utachapiwa sana.

Haya mambo hayana pie, tunajaribu kupunguza possibilities lakini kama kuwekewa watakuwekea tu.
 
Unamzidi yote then poor in bed, bado tu utachapiwa sana.

Haya mambo hayana pie, tunajaribu kupunguza possibilities lakini kama kuwekewa watakuwekea tu.

Kuwekewa na Mzazi mwenza wengi huona ni uhakika zaidi.
Hicho ndicho kinazungumziwa hapa
 
Kuna dada mmoja amezaa na mtangazaji mmoja wa Michezo kwenye redio moja hapa nchini, lakini huyo mtangazaji hajamuoa. Sasa huyo mtangazaji safari za marekani na ulaya ni daily, basi huyo dada anapenda mtoto wake atambulike kwa jina la baba wa huyo mtangazaji, utasikia "kitambaa junior"
 

😂😂😂
 
Tushazoea tuatazama tu
 
Na lazima umzidi kupiga miti bwana wake wa kwanza sio kimoja tu chali atamiss mizouka!!!
 
Mkuu agiza Pepsi baridi nitalipa [emoji4]. Ila mi najiuliza hivi ukigundua mwanamke kabadilisha ubini wako, sheria haiwezi kumuhukumu ukamchukua huyo mtoto?
 
Umesahau kuhusu SHOW ya Kibabe kitandani.

Hakikisha ukioa MKE wa mtu basi na show uipige kimaridadi kumzidi yule wa mwanzo otherwise umenunua mbuzi kwenye gunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…