binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Najaribu kuvaa viatu vyao, hivi wanajuta, wameamua kujikaza, au wameshazoea, au hizi mada haziwasumbui? Maana mnawadiscuss kila siku na mmewageuza "special group"
Wakuu punguzeni naamini ukiachana na wale ambao waliamua kulea wenyewe basi wengi wao hawakupenda iwatokee hivyo, wanaume punguzenu aisee mnatumia maneno makali sana!
Wakuu punguzeni naamini ukiachana na wale ambao waliamua kulea wenyewe basi wengi wao hawakupenda iwatokee hivyo, wanaume punguzenu aisee mnatumia maneno makali sana!