Kitu ambacho unapaswa kujua kwa mwanamke ni kwamba anatumia zaidi hisia kuliko logic. Mwonekano na fedha hizo zote ni logic maana wapo wengi ni wazuri na wana pesa ila wanagongewa.

Mwanamke akishakuvulia chupi mara moja, basi ujue wewe ni udhaifu wake. Mwanamme yeyote aliyemzalisha mwanamke anaweza kumgonga anytime ata kama ana muonekano mbovu na kazidiwa pesa.

Ndo maana mwanamke ni rahisi kurudiana na ex wake kuliko kuanzisha mahusiano mapya.

Ukioa singo mama ujue umeoa mke wa mtu, at any time T lazima agongwe.
 
UNAPO OA MAANA YAKE UNAMILIKI MKE, SASA UNAWEZAJE MILIKI ALIYEZALISHWA?
HIZI MAMBO ZA KUKIMBILIA KUOA HIZI.
ENDELEENI TU
 
NIMEONA KWENYE MISIBA MINGI, MWANAMKE ALIYEZAA NA MTU KISHA AKAJA KUOLEWA.
ANA KWENDA KWENYE MSIBA WA ALIYEKUWA MAMA/BABA MKWE. KWANI BADO NI BABA/BIBI WA MTOTO WAKE.
HUKO MSIBANI ANAKWENDA KUKUTANA NA BABA MTOTO WAKE, WANAKUMBATIANA NA KUPEANA POLE.BAADA YA MAZISHI WAKO WOTE MPAKA SIKU MWANAMKE ATAKAPO ONDOKA, NA ANASINDIKIZWA.

MATOKEO: 1.UNYUMBA UNAFANYIKA 2.MAWASILIANO YAO YANA IMARIKA.
 
Kibaya ni kwamba mzidi vyote ila yeye kakuzidi kwenye kupanda mbegu. Cha msingi tutambue singo maza ni upopoma mtupu.
 

Why should I take all that trouble kwa mtu ambaya alishazaa? Nyie ndo mnaua soko kwa single mothers, waacheni wapige maboya wao, wala msiwashtue.
 
Why should I take all that trouble kwa mtu ambaya alishazaa? Nyie ndo mnaua soko kwa single mothers, waacheni wapige maboya wao, wala msiwashtue.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Vijana lazima wapewe maonyo.
Wazee na watu wazima wanaachwa tuu Kwa sababu wanafanya kitu wakijuacho na wapo tayari kukilipia gharama
 

Why should I take all that trouble kwa mtu ambaya alishazaa? Nyie ndo mnaua soko kwa single mothers, waacheni wapige maboya wao, wala msiwashtue
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Vijana lazima wapewe maonyo.
Wazee na watu wazima wanaachwa tuu Kwa sababu wanafanya kitu wakijuacho na wapo tayari kukilipia gharama

Haipaswi kuoa single Mother
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Vijana lazima wapewe maonyo.
Wazee na watu wazima wanaachwa tuu Kwa sababu wanafanya kitu wakijuacho na wapo tayari kukilipia gharama

Msisitizo:

  • Mabinti msizae kabla ya ndoa.
  • Mliozaa, hakuna namna rudianeni.
  • Hamrudiani, ishini wenyewe.

Msisitizo:..

Vijana msioe single Mothers......
 
Na ulishawahi ona mtu anaalikwa kwenye high level event kwa sababu ya muonekano wake? Waache ujinga, u handsome unaisha unapozeeka.
 
Hivyo ndivyo Wanawake wanavyofanya mishe zao.
Eti mishe zao, πŸ˜€πŸ˜€
RH it seems una mahusiano mazuri sana na bibi zako, mashangazi zako, mama wote wadogo na wakubwa, na dada na dada binamu zako.
Huwezi kuzijua siri hizi pasipo kuwastudy.
Wale vijana waliolelewa katikati ya madume huwa wanapata tabu sana, maana sio rahisi kuzijua tabia za kike bila kuassociate nao sana.
Na ndiyo maana mwanamke akiolewa na single parent mwenye uwezo vita kali sana hutokea kati ya mke na mama mwenye mtoto lazima kujihakikishia kuwa UMEUA kabisa mahusiano mazuri kati ya hawa watu wawili, usipofanikiwa utasikia wanalea mtoto mwingine.
 

Nimeishi na Bibi zangu wapatao 7 ambao Kwa sasa sio pungufu ya miaka 80, Wamama na mashangazi, ninaelewa mishe zao.
Pia nimeishi na wababu.
Nimewasoma Kwa miaka yangu ya utoto yote mpaka umri wa miaka 20.

Hivyo Watoto waliozaliwa Baada ya Mwaka 1970 hawawezi kunichanganya ikiwa Mama zao nimeshawasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…