Nondo hizi
 

Anayepata majanga ndiye anayelaumiwa zaidi kuliko asiyepata. Hiyo ni Kanuni.
Kwani nature inataka MTU ajikinge zaidi kuliko kutibu.

Mfumo uliokuwepo ambao ni mfumo dume iliweka mazingira ya kumsaidia kumlinda Mwanamke kadiri inavyowezekana lakini Baadhi ya Wanawake ndio hujiingiza kwenye mitego ya hao wanaume wa hovyo.

Hawawataki wanaume waliosirius na Maisha wanataka wanaume wanao-fake
 
....na una experience kuubwa😳 what is your sample size.

 
Hii stori mbona ni kama ya zamani?
 
Anayepata majanga ndiye anayelaumiwa zaidi kuliko asiyepata. Hiyo ni Kanuni.
Kwani nature inataka MTU ajikinge zaidi kuliko kutibu.
Huu ujumbe naenda ku-print na kubandika ukutani kwangu.

Maisha yako hivyo.

Hata ukienda hosp unaumwa Ukimwi utapewa pole lakini wakiwa pembeni wanasema wacha akome alijifanya kitombi sana.
 
Single mother ni mwanamke mwenye mtoto au Watoto ambaye hajaolewa au aliyepewa Talaka
Kwa mfano mwanamke ameolewa na akapata mtoto au watoto katika ndoa yake ikatokea bahati mbaya mumewe akafariki , je huyu anawekwa kwenye kundi lipi kati ya haya???

a) Single mother.

b) Mjane.

c) a na b yote sawa

Nb : Unapojibu jaribu kutafuta maana ya neno single!!!!!!!!!
 
πŸ‘©πŸ»β€πŸ¦±πŸ‘©πŸ»β€πŸ¦±πŸ‘©πŸ»β€πŸ¦±πŸ‘©πŸ»β€πŸ¦±πŸ‘©πŸ»β€πŸ¦±
 
Usioe hapo. HATARI HIYO.
 
Takriban 80% ya ulichoandika ni UONGO , wanaokupongeza nawashangaa Sana!!!!! Yaan umeandika pumba kabsaa!!! Umeandika meng lakin Ni hayana maana kabsa
 
Huu ujumbe naenda ku-print na kubandika ukutani kwangu.

Maisha yako hivyo.

Hata ukienda hosp unaumwa Ukimwi utapewa pole lakini wakiwa pembeni wanasema wacha akome alijifanya kitombi sana.

Ndio iko hivyo.
Kinga ni Bora kuliko tiba.
Ndio maana zile sehemu nyeti kama macho kuna involuntary action ya kupepesa ili kuzuia hatari inayokuja, ubongo umezuiwa na mfupa mgumu uitwao Fuvu, moyo umezuiwa na Mbavu.

Kinga ni Bora kuliko tiba
 
Kuna single mom mmoja nlkua nme zoeana nae kiasi .siku nikaona wana shindia uji tu nka sema ngoja nmu sponsor kidgo kesho yake nashangaa naombwa tena nka jua utan nka mpa kesho kutwa yake tena eti sukari na mchele umeisha nkaona hapa nme yakanyaga

Unaweza kumsaidia tuu. Ila weka akilini ukimsaidia anajua ni Kwa sababu anastahili, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivyo hataona unachokifanya
 

Mjane hajawahi kuitwa single mother.
Single mother ni mwanamke aliyezalishwa Kabla hajaolewa na Hana Mume, pili ni Mwanamke aliyetalakiana na mumewe.
 
Akijifungua tu mtoto akue kidgo beba mtoto wako achana nae hawana maana hao story yako Ni copy na yangu nilishachukua mwanangu zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…