Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
I know right. Nilifurahia sana kwa makavu aliyotupa. Ila braza umegoo deeper...[emoji847]
Ghafla nimedinda yaani stimu zalizonipa huyo dada. Mwanamke akikuheshimisha matatizo ya nguvu za kiume sijui huwa yanaponaje ghafla.
 
Enhee ikawaje sasa mwishoni na uyo single mama

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Tulibakia kuwasiliana tu hivyo hivyo mwisho wa siku akaja ruka na jamaa gani sijui huko alikuja nipigia simu na kutext Whatsapp akinitumia picha ya mtoto wake mwingine. Nikamuuliza umeamua tena kupata mtoto?!

Akanijibu kuwa ameona umri unaenda. Nikaona hapa hakuna kitu hapa. Umri ndio iwe sababu ya kupata mtoto, huyo wa mtoto wa kwanza ulikuwa unalalamika balaa juu ya malezi sasa mtoto wa pili itakuwaje na ushamleta.
 
Kwann mnakuwa na maamuzi ya kibinafsi. Wewe huyo mtoto wako unayemleta kwann unataka apitie mama wa hovyo kama huyo, why usitafute binti mzuri tu anayejiheshimu mbona wapo wengi tatizo vijana hamtembei mkaona maajabu na uumbaji wa mwenyezi.

Kuna mabinti wapo huko wanatanga tanga maisha yamewazingua wewe unahangaika na mizigo ya watu. Piga chini katafute mwanamke wako uanzishe uzao wako safi sio unakutana na mwanamke ana watoto baba tofauti na wewe unaenda kuweka wa kwako hapo hapo.

Mtoto wako atakuja kukulaumu sana baadae kuwa wewe kama baba ulifeli wapi kumchagulia mama mzuri.
Ebu nipe connection ya hao mabinti wazuri wa sura na tabia

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Kwann mnakuwa na maamuzi ya kibinafsi. Wewe huyo mtoto wako unayemleta kwann unataka apitie mama wa hovyo kama huyo, why usitafute binti mzuri tu anayejiheshimu mbona wapo wengi tatizo vijana hamtembei mkaona maajabu na uumbaji wa mwenyezi.

Kuna mabinti wapo huko wanatanga tanga maisha yamewazingua wewe unahangaika na mizigo ya watu. Piga chini katafute mwanamke wako uanzishe uzao wako safi sio unakutana na mwanamke ana watoto baba tofauti na wewe unaenda kuweka wa kwako hapo hapo.

Mtoto wako atakuja kukulaumu sana baadae kuwa wewe kama baba ulifeli wapi kumchagulia mama mzuri.
Kumbuka kuacha akiba ya MANENO,Au HUNA watoto???Utaletewa wajukuu nyumbani na watoto wako wa like.Sijui utawafukuza
 
Kwa mujibu wa definition yako hapo na wewe hautakuwa sahihi sababu hiyo definition imedadavua juu juu na kurelate neno single mother na ujane bila kutrace historical background ya origin ya hilo jina.

History ya neno single mother inaanzia marekani na ndipo jina hili lilipokuwa coined kwenye jamii ya wamarekani weusi ambao walizalisha utamaduni wa wanawake kuzaa na wanaume kama means ya kipato.

Yaani mwanamke anazaa hata na wanaume sita halafu wale wanaume wanamletea matunzo na yeye anatumia hayo matunzo kupata mahitaji yake inakuwa kama source of income.

Plus hawa wanawake walikuwa wanafanya hivi ili kucollect welfare money ambazo serikali ilianzisha special program ya kusaidia kaya za hawa wanawake waliokuja kupewa jina la utani "single mothers" baada ya wale social workers kubaini trend ya wanawake hawa kuzaa na kupata privileges sawa na zile za wanawake wajane au ambao wanaume zao wamefungwa jela.

Hawa single mother walipewa jina hili sababu ni wanawake ambao hata katika karatasi zile za welfare walipoulizwa status ya marital walisema wapo single yet wanawatoto na wanaume tofauti.

So social workers wakaona wasiwaweke kundi moja na wajane sababu wajane ndio walikuwa walengwa wa programs hizi za kijamii kuwasaidia matunzo yao na watoto kutoka serikalini. Ila hicho kizazi cha wanawake waliozaa tu hovyo ili wapate social benefits kutoka serikalini in form of Child support, food stamps, academic sponsorships, etc tena walitarget wanaume ambao anajua mwisho wa siku huyu hawezi kuwa baba wala kuwa na familia na mimi ili apate mazingira ya kuclaim benefits.

Widow (mjane) ni mwanamke ambaye amefiwa na mume wake wa Ndoa.

Single parent in this case, ni mwanamke ambaye alikuwa na mwenza wake kindoa kabisa ila wakatalikiana na kubakia kuwa wazazi kwa watoto. So tunasema ni single parent sababu hayupo kimahusiano na mwenzake tena ila wapo kimalezi kwaajiri ya watoto.

Single mother (wadangaji) hawa ndio kundi la wanawake ambao wanazaa ila hawakuwahi kuwa na mahusiano yale serious ya kutambulishwa, kulipiwa mahari au hadi kuolewa. Hawa ni wale wanapata mimba zisizo na utaratibu wala kufuata ustaarabu wa kuwa na malengo.
Kumbuka una dada,shangazi,mama,watoto.Acha akiba ya MANENO.Hata Yesu aliwaambia wale watu kuwa Kama Kuna mtu ambae Hana dhambi na awe was kwanza kumpiga mawe.Wote walikimbia akabaki yule mama peke yake na Yesu.Yesu akamuuliza wako wapi washtaki wako?Akasema wamekimbia.Yesu akamwambia enenda na usitende dhambi Tena.
NB:JE YESU ALILELEWA NA NANI DUNIANI???
 
Ngoja nitoe story moja labda inaweza kumuinua somebody here. Kuna ndugu yangu flani tumpe jina Abshir. alikuaga na mdada tumpe jina Rosina. Abshir na Rosina were so in love, mahaba ya njiwa kama yote. Wakiwa mahali wanaonyesha mapenzi mpaka sisi watazamaji tunaona. Miaka miwili ikapita hapo Abshir hana pesa, mwenye kimango ni Rosina. So Rosina alikua kama bread winner kimtindo.

Baadae Abshir akampa mimba Rosina. Baada ya Rosina kubeba ujauzito, Abshir akawa kama anajiengua flani ivi. Rosina akanotice, akaja kusema nyumbani kwamba mimi siumuelewi ndugu yenu, mbona kanibadilikia. Basi Abshir akawa anasema "mimi sikupanga nimuoe huyu dada so kaamua kubeba ujauzito kwa lazima. So Abshir akaachana na Rosina. Mtu mzima mmoja tu upande wetu ndie aliekuwaga intouch na Rosina kuuliza maendeleo lakini Abshir yeye na ndugu wengne tukajikataaga completely. So basi bwana, Rosina akajifunguaga mtoto wa kiume akapambana mwenyewe mpaka mtoto akakua.

Huku nyuma Abshir alistruggle kivyake, akaja akaoa mwanamke mwingine. Wakaishi pamoja kama miaka miwili, Abshir akaanza kuugua then akaja kufariki. Kwenye msiba ndipo movie iliponoga. Abshir alikua na mtoto wa kiume mmoja tu ambae alimtelekeza kwa Rosina. Rosina alishapataga mwanaume akaolewaga. Kuna ndugu viherehere wakawa wanadai eti mtoto wa Abshir wa kiume apelekwe kwenye msiba wa baba ake. Mtu mzima yule aliekuwaga in contact nae akampigia simu Rosina na kumwambia bwana bwana. Huku wanasema A B na C. Rosina akamwambia naongea na wewe kwa sabbu weww ndo pekee ulienipa support all this time. Waambie nawaheshimu sana. Please sitaki kelele na mtu. Nina amani kwenye ndoa yangu, just leave me alone. Alishaniacha huyu mtoto ni wa huyu mume wangu. Akakata simu.

Basi mtu mzima huyu akafikisha ujumbe na akasema she is very correct. Miaka yote mmekaa kimya kama ndugu leo mnamuulizia wa nini. Mumuache mtoto wa watu kaolewa na ana amani kwenye ndoa yake. Basi bwana watu sura zikawashuka wakakituliza. Msiba ukaisha..and by the way Abshi hakuwahi kupata mtoto na huyu mwanamke mwingine and nae alikuaga single mother mwenye watoto wawili. It is what it is.

My point hasa ni kwamba, incase yameshatokea ya kutokea kila mtu ashinde mechi zake. Wewe ni mwanamke lea m/watoto wako mwenyewe. Do not try to force yourself kwenye maisha ya huyo mwanaume. Akifanya sawa asifofanya kufa na Yesu wako. Because ukizidi kujisumbua nae sanasana wewe ndo utawaste your life. Ukija kuzinduka miaka 10 imeshaisha na ulikua busy unacheza games za back and forth.

Na wewe mwanaume incase tayari yameshatokea, ni jukumu lako kulea mtoto wako. Kwanini ugongewe hodi lakini. Tuma fedha, kata bima ya mtoto wako ili kuepuka usumbufu. Kama amefika 7 years na unaona kuna drama sana kwa mama mtoto basi fata taratibu mchukue ishi nae au sort it out. Lakini msitumie hiyo nafasi ya kumlea mtoto kama chachu ya kumfanya mama mtoto sex machine. Na wewe unazidi kujipotezea muda na kukaribisha hasara na nuksi kwenye maisha yako. Maana unakuta umeshaoa mwanamke mwingine na huku mnatafunana na huyo mama mtoto sijui mnakua mnafikiria nini.

Lets all be emotionally mature and grow up. Back and forth sex games and drama ni hasara tu. Mistake zikishatokea zimetokea why tunazidi kuzipalia makaa na kuwa wapumbavu kiasi hiki? I really hope and pray kila mtu ajifunze kuwa responsible kwa choices anazozifanya kwenye maisha yake.
Jukumu moja kuu la mama ni kuhakikisha mtoto wake anajua ndugu wa ukoo wake upande wa baba.

Mtoto wa kiume anayejua vizuri ndugu wa ukoo wake upande wa baba huwezi kumkuta na tabia za ajabu ajabu.

Singo mama hapaswi kutetewa kwa hali yoyote, asilimia kubwa wao ndio chanzo cha kuharibu mahusiano.

Huyo singo mama Rozina unaona anatumia akili kutompeleka mtoto kwao eti kisa aligombana na baba yake?
 
Sio kweli wanaume hua hawawatafuti wanawake waliozaa nao mm nina mwanamke ambae alizalishwa na mtu lkn huyo aliemzalisha hua hamtafuti mwanamke ila mwanamke ndio anamtafuta jamaa tena anamwambia kwann huji nyumbani kutusalimia haya najua kupitia mawasilino yao na mm nataka akishashika mimba akizaa tu namuacha

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
Usifanye hivyo tafadhari......
 
KWA NINI SINGLE MOTHER WANAOGOPWA KULIKO SINGLE FATHER?

Anaandika, Robert Heriel

Baadhi ya Wadada wamekuwa wakiniuliza iweje Single mother pekee Yao wanaogopwa na Vijana wakiume lakini Single father hawaogopwi na Vijana wakike? Aidha ni Kwa nini Mwanamke mwenye mtoto anapata changamoto kubwa Kupata Mwenza wa kumuoa ukilinganisha na Single father?

Kwa kuongezea, ni kwanini kijana akitaka kuoa single mother atapata upinzani mkubwa kutoka Kwa Wazazi na Ndugu zake na jamii Kwa ujumla? Maswali hayo leo tutaenda kuyajibu Kwa kifupi.

Single mother ni mwanamke mwenye mtoto au Watoto ambaye hajaolewa au aliyepewa Talaka. Huyo ndio single mother. Wakati Single Father ni Mwanaume mwenye mtoto au Watoto ambaye hajaoa au aliyekwisha kupeana Talaka.

Zifuatazo ni sababu za Kwa nini single mothers wanaogopwa zaidi kuliko Single Father;

1. Upendo
Wanawake asilimia 90 wanabeba mimba Kwa wanaume wanaowapenda iwe kwa upendo halisi au upendo wa Mali,
Mwanamke hawezi kuzaa na Mwanaume asiyempenda, Wakati Sisi wanaume suala la kuzaa halipo Chini ya maamuzi yetu.
Sisi wanaume tunaweza bebewa mimba na Mwanamke yeyote hata tusiyempenda, na bahati nzuri au Mbaya wale Wanawake tusiowapenda ndio wepesi kushika MIMBA.

Mwanaume anaweza kutelekeza Mama na mtoto Kwa sababu Hakumpenda Mama na bila Shaka mtoto hakuwa kipaombele chake. Mtoto hawezi kumfanya mwanaume ampende Mwanamke, Ila Kwa upande wa mwanamke mtoto anaweza kumfanya Mwanamke ampende Mwanaume.

Mwanamke analazimika kumpenda mzazi mwenza Kwa MASLAHI ya mtoto, Wakati Sisi wanaume hatunaga kitu kama hicho. Hatulazimiki kumpenda Mwanamke Kwa sababu ya Watoto.

Hii inafanya Single mother kuogopwa Kwa sababu bado wengi wao huwa na bond na Wanaume waliozaa nao Kwa MASLAHI ya mtoto.
Ni nadra Kwa mwanaume kumtafuta Mwanamke aliyezaa naye lakini ni Jambo la kawaida Kwa Wanawake single mother kutafuta Mababa wa watoto Kwa sababu nyingi tuu.

2. HUDUMA KWA MTOTO/WATOTO
SIngle mother wanaogopwa zaidi Kwa sababu wanakuwa wasumbufu kupiga piga simu Kwa wanaume waluowazalisha Kudai Huduma za Watoto. Lakini Hii ni tofauti na single father, mtoto akikaa na Baba yake atahudumiwa na Baba pasipo Mama yake kusumbuliwa.
Yaani haiwezekani single father adai Huduma ya mtoto Kwa mzazi mwenza.

Single mother wengi wanajua ni hasara kubwa kwao kumpa Mwanaume mtoto kwani watakosa mawasiliano na pili wapo wanaopatiemo huduma kupitia Watoto.

Wanawake wengi wanaoolewa na Single father hupendelea huwashauri Waume zao kuwachukua Watoto waishi NAO palepale nyumbani ili kukata mawasiliano baina ya mumewe na Mzazi mwenza, na kama atataka kuwasiliana na mwanae basi simu itapokelewa na atapewa simu mtoto aongee na mama yake.

3. SINGLE MOTHER WENGI KIPAOMBELE CHAO NI WATOTO.
Hii ni tofauti na Single father, wanaume wengi Watoto sio kipaombele Sana ikiwa tuu ataona Mkewe anamheshimu na kumtii. Ndio maana ni kawaida Kwa wanaume kutelekeza watoto. Hilo wala halina mjadala.
Mwanamke yupo connected na watoto wake automatically tofauti na Sisi wanaume.

Single mother wengi kipaombele Chao ni Watoto wao, kila kitu atakiangalia katika jicho la kumlinda mtoto wake, na yupo tayari kufanya lolote kwaajili ya mtoto wake. Hii ni tofauti na Single father, yeye atadili na Familia Kwa ujumla Kwa kumpenda Mkewe na kumpa kipaombele Mkewe kwani yeye ndiye mlezi wa watoto na familia Kwa ujumla.

Single mother hawezi kukupenda kama anavyompenda mtoto au Watoto wake Ila SIngle father anaweza akampenda Mwanamke/Mkewe Mpya kuliko anavyowapenda Watoto wake.

4. DRAMA
Single mother wanadrama nyingi mno ukilinganisha na Single father. Waliooa single mother wamekuwa Watu wanaoripoti visa na mikasa ya kusisimua na kushangaza, tofauti na wanawake walioolewa na single father.

Tabia ya mwanaume ni ileile haijalishi ni single father au sio single father. Haijalishi ni kijana au Mzee. Wanaume Tabia zetu ni zilezile.
Hii ni tofauti na wanawake, Wanawake wapo tofauti tofauti kulingana na umri, maumbile, Elimu, hadhi, mwenye Watoto n.k

I) Mwanamke Bikra hafanan na Mwanamke asiyebikra,
ii) Mwanamke single mother hafanani kabisa na Mwanamke asiyesingle mother, yaani ni jinsia moja lakini wapo tofauti kihisia, Kiakili, kimtizamo na kimaamuzi.
iii) Mwanamke mwenye umri wa miaka 15-25 hafanani na Mwanamke mwenye umri miaka 25-40 na pia hawafanani na Wanawake wenye miaka 41-60 linapokuja suala la mahusiano.

Lakini kijana wa miaka 15-25, 25-40, MTU mzima wa miaka 41-60 wanafanana linapokuja suala la mahusiano.

5. SINGLE MOTHER HUPENDA KUPEWA HESHIMA ILEILE UNAYOMPA MKEO HATA KAMA MMEACHANA. WAKATI SINGLE FATHER HUO MUDA HANA NA SIO AJABU AKAWATELEKEZA HATA NA WATOTO.

Ukioa single mother elewa kuwa kama aliyemzalisha anampa heshima yote kama Mkewe(Kwa jina la Mzazi mwenza) na akawa anawahudumia Watoto wake basi kazi yako kama mume Kwa huyo Mwanamke ni kubwa Sana. Utapata tabu Mno.

Elewa kuwa Mwanamke single mother ndio hulazimisha ukaribu wa mzazi mwenza naye Kwa mgongo WA mtoto. Ila ni ngumu mwanaume single father kutafuta ukaribu na Mwanamke aliyemzalisha. Hakunaga kitu kama hicho.
Ingawaje single mother wanaweza kukuambia kuwa hawasiliani na Mzazi mwenza lakini Kwa Sisi wakulungwa tunasema huo ni Uongo.

Lakini single father akikuambia hajawasiliana na Mzazi mwenza muamini kabisa Kwa sababu Sisi wanaume tunaathiriwa zaidi na MTU aliyekaribu kuliko aliyembali, sio ajabu Mwanaume anauwezo wa kukaa hata mwezi au miezi sita bila kuwasiliana na Wazazi wake lakini Kwa Mwanamke ni tofauti.
Sasa ikiwa mwanaume anauwezo wa kukaa muda mrefu bila kuwasiliana na Mzazi aliyemzaa sembuse Mwanamke aliyemzalisha au sembuse Mtoto?

Lakini Kwa Mwanamke hilo hataweza tena akijua Mwanaume aliyemzalisha anauwezo wa kiuchumi.

Eid Mubarak

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Ukweli usiyoghoshiwa
 
Ebu nipe connection ya hao mabinti wazuri wa sura na tabia

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
Shida vijana huwa mnajilimit eneo la mawindo mnaishia hapo mtaani unapoishi, chuo unaposhinda au kazini unaposhinda baasi. Kwann usitenge muda ukatembee maeneo ya tofauti hata mkoani lengo ikiwa ni kujitafutia kimwana.

Eddy Murphy mwenzako alitoka ZEMUNDA akaja America kutafuta pisi ya kuoa hadi akakutana na mtoto Lisa wakafunga ndoa. Tena alimkuta Lisa ana boyfriend imagine lakini akamnyang'anya.

So fuata machale yako yatakupeleka kwa mkeo na atakuwa mke mzuri sana kwako.
 
Kumbuka kuacha akiba ya MANENO,Au HUNA watoto???Utaletewa wajukuu nyumbani na watoto wako wa like.Sijui utawafukuza
Labda MUNGU awe ATHUMAN ila kama ni huyu MUNGU wa kwenye bible na Quran sahau hilo jambo kutokea kwenye kizazi changu mimi. Hicho kirusi hakitaingia katika ukoo wangu kuanzia watoto, wajukuu, vitukuu hadi Vilembwe na vining'ina.
 
Back
Top Bottom