I know right. Nilifurahia sana kwa makavu aliyotupa. Ila braza umegoo deeper...[emoji847]
Ghafla nimedinda yaani stimu zalizonipa huyo dada. Mwanamke akikuheshimisha matatizo ya nguvu za kiume sijui huwa yanaponaje ghafla.
 
Enhee ikawaje sasa mwishoni na uyo single mama

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Tulibakia kuwasiliana tu hivyo hivyo mwisho wa siku akaja ruka na jamaa gani sijui huko alikuja nipigia simu na kutext Whatsapp akinitumia picha ya mtoto wake mwingine. Nikamuuliza umeamua tena kupata mtoto?!

Akanijibu kuwa ameona umri unaenda. Nikaona hapa hakuna kitu hapa. Umri ndio iwe sababu ya kupata mtoto, huyo wa mtoto wa kwanza ulikuwa unalalamika balaa juu ya malezi sasa mtoto wa pili itakuwaje na ushamleta.
 
Ebu nipe connection ya hao mabinti wazuri wa sura na tabia

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Duh Robert umeshusha nondo za kibabe sana. Ongera sana sikupingi hoja Yako.
 
Kumbuka kuacha akiba ya MANENO,Au HUNA watoto???Utaletewa wajukuu nyumbani na watoto wako wa like.Sijui utawafukuza
 
Kumbuka una dada,shangazi,mama,watoto.Acha akiba ya MANENO.Hata Yesu aliwaambia wale watu kuwa Kama Kuna mtu ambae Hana dhambi na awe was kwanza kumpiga mawe.Wote walikimbia akabaki yule mama peke yake na Yesu.Yesu akamuuliza wako wapi washtaki wako?Akasema wamekimbia.Yesu akamwambia enenda na usitende dhambi Tena.
NB:JE YESU ALILELEWA NA NANI DUNIANI???
 
Jukumu moja kuu la mama ni kuhakikisha mtoto wake anajua ndugu wa ukoo wake upande wa baba.

Mtoto wa kiume anayejua vizuri ndugu wa ukoo wake upande wa baba huwezi kumkuta na tabia za ajabu ajabu.

Singo mama hapaswi kutetewa kwa hali yoyote, asilimia kubwa wao ndio chanzo cha kuharibu mahusiano.

Huyo singo mama Rozina unaona anatumia akili kutompeleka mtoto kwao eti kisa aligombana na baba yake?
 
Usifanye hivyo tafadhari......
 
Ukweli usiyoghoshiwa
 
Ebu nipe connection ya hao mabinti wazuri wa sura na tabia

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
Shida vijana huwa mnajilimit eneo la mawindo mnaishia hapo mtaani unapoishi, chuo unaposhinda au kazini unaposhinda baasi. Kwann usitenge muda ukatembee maeneo ya tofauti hata mkoani lengo ikiwa ni kujitafutia kimwana.

Eddy Murphy mwenzako alitoka ZEMUNDA akaja America kutafuta pisi ya kuoa hadi akakutana na mtoto Lisa wakafunga ndoa. Tena alimkuta Lisa ana boyfriend imagine lakini akamnyang'anya.

So fuata machale yako yatakupeleka kwa mkeo na atakuwa mke mzuri sana kwako.
 
Kumbuka kuacha akiba ya MANENO,Au HUNA watoto???Utaletewa wajukuu nyumbani na watoto wako wa like.Sijui utawafukuza
Labda MUNGU awe ATHUMAN ila kama ni huyu MUNGU wa kwenye bible na Quran sahau hilo jambo kutokea kwenye kizazi changu mimi. Hicho kirusi hakitaingia katika ukoo wangu kuanzia watoto, wajukuu, vitukuu hadi Vilembwe na vining'ina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…