inakuwaje, mwanaume uko na akili timamu eti unaanzisha uhusiano as wapenzi na mwanamke ambaye umemkuta tayari ana mimba?.......baadhi ya vijana wa siku hizi mna shida sana katika kuwaza na kufanya maamuzi.
 
Mkuu pole chukua hii code apa chini :

Single mother hawapendeki, we chukua namba yake omba gemu, usimuambie unampenda, tengeneza urafiki fulani ambao akitaka show anaibuka

Halafu tafuta wengi kama wa 5

Mimi siwezi kuwa na mpenzi mmoja na siwezi kuwa serios hata kama nitaoa

Kingine mkuu, mwanamke mkumbuke pale ukishakumbuka watu wa maana, wazazi na ndugu wape kipaumbele, trust me mwanamke hata umpe nini ukifanya ujinga mmoja tu anaondoka.

anza kuwa na roho ngumu, just eat and run, ikitokea umempa mimba mmoja wao angalia kama anavutia mweke ndani lakini uwe na backup

Watu wanadekia matisheti ya his na hers
 


Sasa mtu ana mimba ya miezi mitatu ana move on kwenda wapi 😂

Stop preying on vulnerable women.
 
Wanaoonewa ni vijana maana ndo kutwa wanalia sana kuhusu single mothers.

Mpaka sasa nyuzi za kushambulia single mother ni nyingi sana ila single mother wao wapo tu wanawafinya vijana dhaifu kimya kimya.

Akishafinywa anakuja kuanzisha uzi. Ilitakiwa nyuzi za single mama kulalamika ndo ziwe nyingi sio vice versa.
 
Kila siku watu wanaandika na tunaandika humu
Single mothers kula tembea.
Usimdhamini hata dakika.
Malizana nae.
 
Hizo ni changamoto za kimaisha ndo siku zinaenda ... Single mother aliachwa na mume aliacha atakuja mwingine atamuacha hata wa3.

Swali je huyu anayeacha hawa wanawake mpaka wanakuwa single mothers je yeye hana tatizo ?
mtu unaachwa mara tatu useme hana ttzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…