Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Habari Wakuu

Kumekuwa na uzi nyingi kuhusu single maza wapo ambao wanawatetea na wengine wanawaponda. Mimi ni mmoja Kati ya waanga wa single maza kiukweli ni mtihani mgumu kudumu nao na hii imechangiwa na wao kuwa na akili fupi kwa asilimia kubwa labda mtu alizaa nae awe amekufa, ngoja niwape kilichonikuta.

Ndugu zangu nilimpenda mdada mmoja herufi yake inaanzia J Tena nilimkuta ana mimba ina miezi mi3 na niliona siku nimekutana nae kwenye meet tukaa chini ndio akanieleza na kuniambia huyo mtu aliyempa mimba ameikacha na ameamua kumove on ananionesha hadi message za mazungumzo yao yakionesha kweli mdadda kamove on, na sometimes aliniomba niongee na huyo aliyemzalisha baada ya kuona anamsumbua ili asimfuatilie kabisa.

Baada ya kunithibitishia wameachana nikaona niwe nae kwenye mahusiano na kiukweli nilimsaidia mpaka anajifungua na mahusiano yetu yalikuwa ya moto nikaona kabisa hapa nimepata mtu by the way mimi kwenye maisha yangu yote sijawahi kuwa na mahusiano mawili kwa wakati mmoja yeye alikuwa pekee ndugu nilitoa sana kwake kuanzia muda mpaka kifedha na yeye alinipa mapenzi yakutosha Sana.

Baada ya kupita muda kidogo hapo akiwa tayari ameshajifungua mtoto ana miezi mi4 manzi nikawa si muelewi kabisa na nikaona kuna mabadiliko nayaona kwanza akawa hanitafuti, nikimpigia simu zangu hapokei, na kuanza uswahili wa mambo mengine.

Siku moja nilimpigia simu nikashangaa kapokea mzazi mwenzake jibu alinipa ni kuwa nipo na mama watoto amelala acha kusumbua watu mkuu ilinikera Sana ile kauli nikakata simu wakati huyu manzi aliniambia ameenda kwenye msiba wa ndugu yake kumbe yupo ghetto la mzazi mwenzake. Imepita muda mchache nikakuta nimetumiwa picha mzazi mwenzake yupo na huyo manzi wangu wakipigana mabusu nilijua kabisa aliyotuma hivyo ni yule mzazi mwenzake nikama vile anatafuta bifu na mimi maana number ilikuwa ngeni kwangu na picha nyingine alimpiga akiwa uchi kalala kiupande nadhani ilipigwa bila yeye ( manzi ) kujua maana alikuwa amelala ndugu zangu sikuwahi kuwa kwenye maumivu kama yale kwenye mapenzi aisee kumbuka hapo sijafanya nae mapenzi maana nilimpa muda arecover hali yake ndio niombe mechi

NB: imagine demu nimemvumilia akiwa ana mimba na kipindi chote hicho sikuwa na manzi mwingine au kufanya mapenzi na mtu mwingine alafu the end of the day anakupiga na kitu kizito kiasi hicho
inakuwaje, mwanaume uko na akili timamu eti unaanzisha uhusiano as wapenzi na mwanamke ambaye umemkuta tayari ana mimba?.......baadhi ya vijana wa siku hizi mna shida sana katika kuwaza na kufanya maamuzi.
 
Mkuu pole chukua hii code apa chini :

Single mother hawapendeki, we chukua namba yake omba gemu, usimuambie unampenda, tengeneza urafiki fulani ambao akitaka show anaibuka

Halafu tafuta wengi kama wa 5

Mimi siwezi kuwa na mpenzi mmoja na siwezi kuwa serios hata kama nitaoa

Kingine mkuu, mwanamke mkumbuke pale ukishakumbuka watu wa maana, wazazi na ndugu wape kipaumbele, trust me mwanamke hata umpe nini ukifanya ujinga mmoja tu anaondoka.

anza kuwa na roho ngumu, just eat and run, ikitokea umempa mimba mmoja wao angalia kama anavutia mweke ndani lakini uwe na backup

Watu wanadekia matisheti ya his na hers
 
l.jpg


Sasa mtu ana mimba ya miezi mitatu ana move on kwenda wapi 😂

Stop preying on vulnerable women.
 
Wanaoonewa ni vijana maana ndo kutwa wanalia sana kuhusu single mothers.

Mpaka sasa nyuzi za kushambulia single mother ni nyingi sana ila single mother wao wapo tu wanawafinya vijana dhaifu kimya kimya.

Akishafinywa anakuja kuanzisha uzi. Ilitakiwa nyuzi za single mama kulalamika ndo ziwe nyingi sio vice versa.
 
Kila siku watu wanaandika na tunaandika humu
Single mothers kula tembea.
Usimdhamini hata dakika.
Malizana nae.
 
Hizo ni changamoto za kimaisha ndo siku zinaenda ... Single mother aliachwa na mume aliacha atakuja mwingine atamuacha hata wa3.

Swali je huyu anayeacha hawa wanawake mpaka wanakuwa single mothers je yeye hana tatizo ?
mtu unaachwa mara tatu useme hana ttzo?
 
Back
Top Bottom