🤣🤣🤣🤣 Yeye mwenyewe alisema hawezi kufanya sex akiwa na mimba na mimi nikaheshimu maamuzi yake
Na alivyojifungua je? Pale ungesubiri 40 iishe uanze kuomba omba mechi, ona mwenzio kaomba kapewa🤣
Ila tuache utani, achana na single mothers, sie logic huwa tunaziachaga labor, tunachofikiriaga cha Kwanza ni interests za watoto wetu, hapa hisia ndo zinatuongoza...ndo ukikuta Baba mtoto ana maneno matamu unaingia mtegoni, viporo vinapashwa...unamuumiza mtu asiye na hatia.
Ushauri wangu tafuta mdada mbichi mechi ianze 0-0, Wana mapungufu ndio, Ila wewe Kama mwanaume unaweza kumbadilisha awe utakavyo huku ukimvumilia.
 
Huyo atalipwa mshahara wake, Muachie KARMA yupo pale anaona .. Though sio single mother wote ni wasumbufu.
Of course naamini single mother wanakuwa na ufahamu mzuri na darasa Zuri sana kuhusu MAISHA., infact wanakuwa wamezaa na WAHUNI MAVI, kwa bahati mbaya tu.
 
Dah Kuna vijana mna roho nzuri sana. Imagine unamkuta mdada ana mimba afu unaunga tela hadi ajifungue huku ukihudumia na kutumia muda wako afu ata mbususu hupewi !!! Congrats brother you so gentleman.

We move on...tumia uzoefu huo kwenye mahusiano mapya.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Na video kabisa daaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimesoma na kushangaa sana, kweli kuna wanaume na wanaume. Una date na mwanamke mwenye mimba isiyo yako? Wonders shall never end!!
Wanasema mchawi sio lazima akuloge.. vitendo tu 🤓🤓🤓🤓
 
Kijana kutegemea kupanga maisha na mwanamama singo mama huku hajaonyeshwa death certificate na kaburi la bwana aliyemzalisha hiyo ni kujitafutia laana na lawama zisizo za msingi,mwanamke wa kuaminika duniani ni mama yako tu tena ni mwaminifu kwako wewe aliyekuzaa ila kwa baba yako anaweza akawa gunia la misumari

Ikitokea mzazi ana mtoto wa kike aliyezalishwa huyo atolewe kama bonus kwa waowaji ikibidi hata kijana atakaejilipua kumchukua apewe na hela maana hao wanapasua sana vichwa.
 
Ulikumjuta ni mimba miezi 3 halafu hukufanya nae mapenzi du wewe nanga kweli ulikuwa unasubili nini
Kijana mpole sana huyu..Tatizo naona lilianzia hapo..Alimuacha Manzi mpaka anamiss Mizagamuo ya Mzazi mwenzie..
 
Sio kwamba baba wa mtoto alimuomba ni kwamba alichoenda tu kwake kupeleka watoto nadhani hapo jamaa ndio akatake advantage
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
Mimi na akili yangu ndogo, kule kunikubalia tu tayari naomba mzigo haijalishi ana ujauzito wa miezi mingapi, mengine atajua mwenyewe.

Wanawake hawanaga huruma na wanaume. Tupo nao tu, ila ni maadui zetu wakubwa.
 
Tulishafunga nyuzi za single mother. Tuli conclude luwa single mother ni nyoka na haaafai kuaminiwa. Endeleeni kujifanya mnaweza kuwabadirisha sasa
 
Hitimisho ulifanya sana ufala kwenye uhusiano wako na single mother huyo. Ni vizuri amekufundisha mandonga ya kimaisha. Ulionja sumu kwa ulimi wakati paka wa kuwaonjesha wapo
 
Acha undazi wewe chukua ngombe mwenye ujauzito ana dili akizaa utakunywa maziwa ila siyo mwanamke
 
Ubwege ulifanya, ungechapa unatembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…