Na alivyojifungua je? Pale ungesubiri 40 iishe uanze kuomba omba mechi, ona mwenzio kaomba kapewa🤣🤣🤣🤣🤣 Yeye mwenyewe alisema hawezi kufanya sex akiwa na mimba na mimi nikaheshimu maamuzi yake
Ila tuache utani, achana na single mothers, sie logic huwa tunaziachaga labor, tunachofikiriaga cha Kwanza ni interests za watoto wetu, hapa hisia ndo zinatuongoza...ndo ukikuta Baba mtoto ana maneno matamu unaingia mtegoni, viporo vinapashwa...unamuumiza mtu asiye na hatia.
Ushauri wangu tafuta mdada mbichi mechi ianze 0-0, Wana mapungufu ndio, Ila wewe Kama mwanaume unaweza kumbadilisha awe utakavyo huku ukimvumilia.