Kwa hio unauhakika hawatawasiliana na mke wako???
 
Comment za hovyo kabisa. Kwamba mama alifanya upuuzi wakati fulani iwe justification ya kuendeleza upuuzi huo?
 
Sasa matatizo yote haya ya nini mwanamume unajitesa duu.
 
Mkuu siyo single mom wote! Wapo ambao ni wazuri kwenye ndoa ili mradi upende watoto wake! Wapo single mom waliobakwa wakajikuta wamekuwa single mom! Wapo waliofiwa na waume zao kingali wana umri wa kuzaa!
Kutokana na changamoto alizopitia kimaisha single mom wa jinsi hiyo akipata mtu wa kumwoa anatulia na anajali.
Kwa hiyo tusiwakatishe tamaa, nao ni watu kabisa ambao wanastahili haki kama hizo za kupata wenzi wengine!
 
Mateso yote hayo ya nini..... bora kuweka sawa tangu mwanzo..... Naongea kutokana na uzoefu..... na mimi ilibaki kidogo nitumbukie kwenye hilo janga lakini namshukuru Mungu kwa kunionesha viashiria mapema sana.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Yank mwanaume mwenzio anakuendesha niletee mtoto wangi sehemu flani na wewe unapeleka daaa.
 
Nyie ni wa zamani sio wa sasa
 
Mashangazi yataniua mie mana ndio yananipa utamu ...mashangazi yana pepo yao
 
Mwanaume kuoa single maza ilhalii kuna ambaoo hawajachuja wapo wengii niupumbav wa makusudi nakutokujielewa
 
Single maza kamwe hawezikukupenda wewe Ila amefwata matumizi ya mtoto tuu nasingle maza hata ukimpaa buku anakutunuku kipochii haijalishi kaolewa tena au laa nahuoga wanajua kuektii kuliaa ili wakuaminishe kua anakupenda, hawa watuu niwakuchakata nakukimbia tuu usizubutuu kuishi nae nakama uponaendani sahivi fukuzaa muda huu unapomaliza kusoma huu ujumbee niwajanjaa mnooo hawanaga upendoo kamwe weniamini Mimi utakuja kunishukuruu siku moja, wechukua pigamzigo fukuzaa akamtafte baba wamtoto usijitwishe majukum nawengii huoga nimalay... Wazoefuu Wachini chinii
 
Write your reply...muhuni wangu cheddy alikufa kifo cha kizembe kisa hawa hawa single mother na tulimuonya kabisa single mother sio wanawake wa kuoa hakuskia

embu ona wivu wa mapenz ulipomfikisha ipumzike kwa amani roho yake
Mkuu ilikuwaje huyo jamaa.
 
Nipo kwenye mahusiano na single mother mwenyewe watoto watatu na mimi bado Sina mtoto nikimwambia kuhusu watoto wake waende kwa baba yao ataki na anasema ataki kusikia Habari hizo kuhusu watoto waende kwa baba yao.nifanyaje
 
Nipo kwenye mahusiano na single mother mwenyewe watoto watatu na mimi bado Sina mtoto nikimwambia kuhusu watoto wake waende kwa baba yao ataki na anasema ataki kusikia Habari hizo kuhusu watoto waende kwa baba yao.nifanyaje

Imekuwaje kwanza ukakubali kuwa mtu ana watoto watatu? Huyo ni mama wa familia jomba, acha kujipa majukum yasiyo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…