Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Sio mbaya kuwa nao, ila ili kuwatengenesha kabisa na baba Mtoto wake Jitahidi ufanye hili..

Marufuku mkeo kuongea na baba mtoto wake, mnunulie simu house girl baba mtoto akitaka kujua hali ya mtoto wake ampigie house girl, hiyo inaenda sambamba na akitaka kumuona mtoto wake wewe isikuletwe usumbufu wowote, house girl ampeleke huyo mtoto kwa baba yake, kama ni stend sjui guest au hotel aende house girl.

Ni Marufuku mkeo kukutana na baba wa mtoto kwasababu yoyote ile..

Ukiona hataki hilo.. PIGA CHINI OA ASIYEZAA, MUANZE WOTE 0-0


Otherwise utachapiwa tu.
Kwa hio unauhakika hawatawasiliana na mke wako???
 
Wewe unauhakika gani mama yako sio single mama!! Inawezekana huyo unayemuita Baba sio baba yako mzazi ila amesingiziwa mimba na mama yako hivyo nawe upo kwenye grp la mtoto kutoka kwa single mama....kabla ya kuandika kaa na ujifikirie mara kadhaa je wewe sio Mhenga kutoka kwa single mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Comment za hovyo kabisa. Kwamba mama alifanya upuuzi wakati fulani iwe justification ya kuendeleza upuuzi huo?
 
Waswahili wanasema huwezi zuia mafuriko kwa mikono, kama huyo single madha aliachana na mpenzi wake kwa kigezo chochote nje na mgogoro wa kimapenzi jua tu at some point watafanya yao tu. Japo si wanawake wote wenye akili za kijinga.

Ishu kama kuachana kwa sababu ya ugumu wa maisha, Baba mtoto akishaimarika kiuchumi lazima muwe mnashea mke kinamna flani!

Nina shemeji yangu ambaye ye ameamua ku control hio situation kwa kuwa ana meet na jamaa anytime ambapo atakuwa anahitaji kumuona mtoto na huwa anampeleka yeye personally so sister hana nafasi ya kuonana na mzazi mwenzie. Nadhani ndio option nzuri zaidi
Sasa matatizo yote haya ya nini mwanamume unajitesa duu.
 
Mkuu siyo single mom wote! Wapo ambao ni wazuri kwenye ndoa ili mradi upende watoto wake! Wapo single mom waliobakwa wakajikuta wamekuwa single mom! Wapo waliofiwa na waume zao kingali wana umri wa kuzaa!
Kutokana na changamoto alizopitia kimaisha single mom wa jinsi hiyo akipata mtu wa kumwoa anatulia na anajali.
Kwa hiyo tusiwakatishe tamaa, nao ni watu kabisa ambao wanastahili haki kama hizo za kupata wenzi wengine!
 
Mateso yote hayo ya nini..... bora kuweka sawa tangu mwanzo..... Naongea kutokana na uzoefu..... na mimi ilibaki kidogo nitumbukie kwenye hilo janga lakini namshukuru Mungu kwa kunionesha viashiria mapema sana.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Yank mwanaume mwenzio anakuendesha niletee mtoto wangi sehemu flani na wewe unapeleka daaa.
 
Tulia, fuata moyo wako na endelea. Ndugu siku zote huangalia upande wao siyo matakwa yako. Wewe kama mnapendana na ameisharidhia basi achana na matakwa ya ndugu. Ila usimfiche wasi wasi wako ili kesho na kesho kutwa yakikukuta ajue ulimweleza. Mme wangu namzidi miaka mitatu pia na tuna watoto wanne mmoja akiwa huyo aliyenikuta naye na wote wana kazi isipokuwa mmoja anachukua Masters na wote ni graduates na tunapendana kama kwamba tumeoana jana.
Nyie ni wa zamani sio wa sasa
 
Mashangazi yataniua mie mana ndio yananipa utamu ...mashangazi yana pepo yao
 
Mwanaume kuoa single maza ilhalii kuna ambaoo hawajachuja wapo wengii niupumbav wa makusudi nakutokujielewa
 
Single maza kamwe hawezikukupenda wewe Ila amefwata matumizi ya mtoto tuu nasingle maza hata ukimpaa buku anakutunuku kipochii haijalishi kaolewa tena au laa nahuoga wanajua kuektii kuliaa ili wakuaminishe kua anakupenda, hawa watuu niwakuchakata nakukimbia tuu usizubutuu kuishi nae nakama uponaendani sahivi fukuzaa muda huu unapomaliza kusoma huu ujumbee niwajanjaa mnooo hawanaga upendoo kamwe weniamini Mimi utakuja kunishukuruu siku moja, wechukua pigamzigo fukuzaa akamtafte baba wamtoto usijitwishe majukum nawengii huoga nimalay... Wazoefuu Wachini chinii
 
Nipo kwenye mahusiano na single mother mwenyewe watoto watatu na mimi bado Sina mtoto nikimwambia kuhusu watoto wake waende kwa baba yao ataki na anasema ataki kusikia Habari hizo kuhusu watoto waende kwa baba yao.nifanyaje
 
Nipo kwenye mahusiano na single mother mwenyewe watoto watatu na mimi bado Sina mtoto nikimwambia kuhusu watoto wake waende kwa baba yao ataki na anasema ataki kusikia Habari hizo kuhusu watoto waende kwa baba yao.nifanyaje

Imekuwaje kwanza ukakubali kuwa mtu ana watoto watatu? Huyo ni mama wa familia jomba, acha kujipa majukum yasiyo yako
 
Back
Top Bottom