Wewe ndio mwenye ubaya na hao wadada watu tena unaonekana mchochezi ukiona uzi upo hapa zaidi ya dk.moja basi ujue umekubalika katika jamii au unafkiri uongozi wa hili jukwaa hawaoni ukiguswa kuwa mpole kubali kubadilika tuu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli wewe ni mgeni na JF ila acha ulimbukeni, JF mmezoea kuwadidimiza watu wanaoonekana kua ni dhaifu na singlemother ndio wadhaifu wenu
Wapumzisheni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni wehu unajijibu mwenyewe!? Tuliza wenge mdogo wangu Dunia hii kuna watu wanamadhira kuliko hao ndugu zetu single mother
Utabiri wako umefeli,wananifahamu hapa wana kushangaa sana,ila jamani hao wadada nao wana mazuri yao hebu siku moja muyajadili basi tumechoshwa na mnavyowasakama
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli wewe ni mgeni na JF ila acha ulimbukeni, JF mmezoea kuwadidimiza watu wanaoonekana kua ni dhaifu na singlemother ndio wadhaifu wenu
Wapumzisheni
Polen single mama kwa haya madongo.Wanaume muwe na hekima hawakujitia ujauzito wenyewe..hadi wasimangwe hivi.Ebu kuweni na adabu wengine mna madada na watoto wa kike yatawakuta ili mchekelee vizuri mfyuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni wehu unajijibu mwenyewe!? Tuliza wenge mdogo wangu Dunia hii kuna watu wanamadhira kuliko hao ndugu zetu single mother
Mie wangu hana shida kabisa,niko na mwanangu wa kufikia hapa tunacheZa ps4 FIFA18,mpaka mida hii nshamchapa game nne.mamake yuko jikoni anaandaa menyu. ukivurugwa na mtu mmoja haimaanishi wote wako hivyo.