Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Ndio maana sisi kabila letu linakataza kijana kuoa mwanamke aliyekwisha zalishwa na mwanaume mwingine!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli wewe ni mgeni na JF ila acha ulimbukeni, JF mmezoea kuwadidimiza watu wanaoonekana kua ni dhaifu na singlemother ndio wadhaifu wenuWewe ndio mwenye ubaya na hao wadada watu tena unaonekana mchochezi ukiona uzi upo hapa zaidi ya dk.moja basi ujue umekubalika katika jamii au unafkiri uongozi wa hili jukwaa hawaoni ukiguswa kuwa mpole kubali kubadilika tuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni wehu unajijibu mwenyewe!? Tuliza wenge mdogo wangu Dunia hii kuna watu wanamadhira kuliko hao ndugu zetu single motherkuna mmoja ameanza kulia hapo juu hawataki mabadiliko sijui kwa nini!
Utabiri wako umefeli,wananifahamu hapa wana kushangaa sana,ila jamani hao wadada nao wana mazuri yao hebu siku moja muyajadili basi tumechoshwa na mnavyowasakamambona povu tenaa singo mazaa
Mbona hujasema na wanaume wa Dar na wamiliki wa vibamia? Maana hizo ndo mada kuu za wavulana wa JF waliotoka kubalehe juzi[emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli wewe ni mgeni na JF ila acha ulimbukeni, JF mmezoea kuwadidimiza watu wanaoonekana kua ni dhaifu na singlemother ndio wadhaifu wenu
Wapumzisheni
Umenielewa vibaya bro.tusiogope changamoto tuzikabili tuu hakuna namna.Mleta uzi unaharibia watu soko
Ww mwenyewe singo maza.maaninaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni wehu unajijibu mwenyewe!? Tuliza wenge mdogo wangu Dunia hii kuna watu wanamadhira kuliko hao ndugu zetu single mother
Mzigua90 nae ni single mamaMkwe Mzigua90 usije pande hizi tafazali