Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hakuna kitu Kama hicho.Mmejaa chuki wkt mmetokana na single maza
We ni single mom?
Mbona Iko wazi,mwanaume kumuoa single mom wakati aliyemzalisha Yuko hai ni kukosa akili, yaani hana akili kabisa.
 
Wewe nawe hebu lea mtoto wako huko. Unakuta anakutafuta mara kwa mara kukukumbusha kwamba una mtoto maana upo hai na mtoto wako analelewa kwa misaada kama yatima na wewe unadhani anakutafutia kupigana miti[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Wanaume,
Tatizo kubwa na Wanaume wajinga wengi ni hupenda kujifunza kwa Vitendo(The hard way).

Huwa wanapenda kujiona wao wako special sana kuliko Wanaume waliowaacha hao Single Mothers.

Ila baadae huja kujua hao Wanawake ni Retired War Veteran, bed to bed midfielders. Wamebeba vitu vizito sana moyoni mwao ambavyo wewe huwezi kuvitatua. Leave them alone.

Be a Man.
 
Mahusiano yana mjumuiko wa mambo mengi, moja wapo lililo dogo kuliko ni sex.
Mahusiano yanagusa moyo fikra nasfi na akili.

Akili huhifadhi mambo mengi sana yawe mema au mabaya.

Mahusiano yanaweza kuvunjika kwa nje lakini akilia moyo na nafsi vikashindwa kuvunja, hata kama kulikua na kujeruhiwa kwa namna gani jeraha linapona, jeraha likisha pona akili hurudia kumbukumbu zake .

Ni ngumu sana kuachana moja kwa moja na mtu ulie mpenda kweli.
Ni ngumu kwa kiasi chake, kama sio leo kesho basi hata mtondogoo utamkumbuka tu, hata kama hauta kua na nia mbaya lakini utamkumbuka tu, upande mwingine wa akili ya mantiki ndio inakukumbusha huyu kaolewa au kaoa basi ndio unarudi nyuma , lakini kamwe alie pendwa hasauliki kwa urahisi.
Tuepuke kupenda kwa dhati , walao itapunguza wangi wa changamoto hizi.
 
Hakhj

Hapa umeongea jambo la maana sana .Hichi ulichoandika yapo kwenye ngoma ya mwanamuziki keri hilson inaitwa energy
 
Mahusiano yana mjumuiko wa mambo mengi, moja wapo lililo dogo kuliko ni sex.
Mahusiano yanagusa moyo fikra nasfi na akili.

Akili huhifadhi mambo mengi sana yawe mema au mabaya.

Mahusiano yanaweza kuvunjika kwa nje lakini akilia moyo na nafsi vikashindwa kuvunja, hata kama kulikua na kujeruhiwa kwa namna gani jeraha linapona, jeraha likisha pona akili hurudia kumbukumbu zake .

Ni ngumu sana kuachana moja kwa moja na mtu ulie mpenda kweli.
Ni ngumu kwa kiasi chake, kama sio leo kesho basi hata mtondogoo utamkumbuka tu, hata kama hauta kua na nia mbaya lakini utamkumbuka tu, upande mwingine wa akili ya mantiki ndio inakukumbusha huyu kaolewa au kaoa basi ndio unarudi nyuma , lakini kamwe alie pendwa hasauliki kwa urahisi.
Tuepuke kupenda kwa dhati , walao itapunguza wangi wa changamoto hizi.
Umeongea kitu cha kweli kabisa
 
Wewe nawe hebu lea mtoto wako huko. Unakuta anakutafuta mara kwa mara kukukumbusha kwamba una mtoto maana upo hai na mtoto wako analelewa kwa misaada kama yatima na wewe unadhani anakutafutia kupigana miti[emoji57][emoji57][emoji57]
Dear hannah
huyu mwanamke alikuja kwangu akiwa na mimba ya mtu mwingine. Sihusiki kabisa na huyo mtoto

tuliachana sababu ya vurugu za baba mkwe, tena katika hatua za mwisho akielekea kujifungua.

Nilimpenda sana pa1 na kwamba alikuja na mimba ya miezi kadhaa.
 
Wewe nawe hebu lea mtoto wako huko. Unakuta anakutafuta mara kwa mara kukukumbusha kwamba una mtoto maana upo hai na mtoto wako analelewa kwa misaada kama yatima na wewe unadhani anakutafutia kupigana miti[emoji57][emoji57][emoji57]
Hannah!!!taratibu Mamii Acha Kasi ya Ngiri mkia juu juu,,utaharibu kipenzi!!!
 
Back
Top Bottom