Leo nimetongoza mdem wa tatu,

Wote ni single mother, tena by evidence
 
Wapumbavu tu..
 
Leo nimetongoza mdem wa tatu,

Wote ni single mother, tena by evidence
Nawahurumia sana hawa viumbe

Kuna kafanyakazi home kalipata mimba kakaondoka
Sasa akawa anazunguka anauza matunda
Tukamshauri mdogo wake asiwe na maisha kama ya Dada yake
Cha ajabu pamoja na onyo hilo nae akapata mimba
Sijui ni maadili au ni uzembe au upumbavu hata sielewi
 
Acha uongo!!!!

Huo utafiki wa 9/10 men hawataki kuoa Single Mother umeufanya wapi????
Picha linaanza wametoka kwa mtendaji wa Mtaa wakiwa wameamuliwa KESI ya Mtoto ikaamuliwa mtoto aende na baba maana mama hua anamuacha mtoto anatanga tanga tu, ile wamefika nje tu ukazuka ugomvi mkubwa Mama anamtaka mwanae akaanza kuokota mawe yaliyopo pembezoni mwa Jengo la ofisi ya mtendaji akampiga baba kichwani amuache mtoto nikashuhudia baba anapigwa na kipande cha tofali kichwani mpaka akaanguka chini ndio watendaji na wajumbe wengine wakatoka ofisini wakaja nje kuamulia ugomvi kipindi hicho mtoto analia baba anavuja damu kichwani baada ya kupigwa na kitifali na mama wa mtoto huku mama nae anapiga makelele na kujaza watu anamtaka mtoto wake...

Itaendelea....
 
Kabila gani?

Kuna makabila mengi Sana msichana akifikisha miaka 20 hajaolewa anaambiwa japo azae...
Miaka 20 Akiwa hajaolewa wala Hana mtoto anaonekana kachelewa sana

Ni suala la culture hasa pwani na baadhi ya mikoa
 
Kwani single mother hana haki ya kupendwa/kupenda?! Hana haki ya kuwa kwenye mahusiano au kuolewa tena?! Yaan what's the prob. with single mothers?!

Vijana muwe na heshima na tambueni hakuna ajuaye kesho... hupangi wewe ila unaanda mipango mahususi ya maisha, mwamuzi ni muumba. Makosa hufanywa... na baadaye mkosaji au mtendaji kosa ambaye ni (mtu) hutambua makosa na hujutia. Na kama ana akili yenye kufanya kazi sawasawa hutulia na kujirekebisha.

Humohumo kwenye single mothers yupo au wapo wanawake material! Choose wisely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…