The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Leo nimetongoza mdem wa tatu,Hata wewe una watoto.umezalisha kwa hao unawasema
Kwa hiyo mtawapa mimba mnaenda kutafuta wasiokuwa na watoto
Oeni wanne wanne kama hamuwezi hata wawili
Tatizo la vijana ni masikini jeuri hata hela ya kodi wengine hawana, ugomvi na mwenye nyumba sasa mtaacha kukataa ndoa kiaina kweli [emoji1]
Wote ni single mother, tena by evidence