Pole mkuu,
 
Wanaoweka mabandiko humu ulikuwa unawaona wehu sio? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hawa watu wanachotafuta ni kufunika ile dhana kuwa kazalishwa na ametemwa,kwahiyo analazimisha mahusiano mapya ili kufunika alilofanya,na sio kama ana mapenzi ya dhati na wewe,sasa ukishamuoa ndio utaujua mziki wake....
Bahati nzuri sikuoa, nilikua napiga tu huku nikiwa na matumaini makubwa
 
Elezea kimekusibu nini?
 
🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…