Kwanini sasa singo Maza huwa na visanga, nimedate nao wa3 (mahusiano zaidi ya miezi 6) ila katika hao watatu sababu kuu ya kuachana nao ni ""Kuendeleza mahusiano na baby daddy zao, Tena mpaka wakanyanduana""
Kwanini sasa wanakuwa hivyo???

#YNWA
Omba Mungu upate mwanamke anaejitambua, mwanamke mwenye msimamo. Kama ni ishu ya kurudi kwa maex mbona hata hao wasiozaa wapo wenye tabia hizo. Mwanamke mmoja unakuta kawapanga kama mafungu ya viazi huyu nae unamzungumziaje?
 
Kwanini sasa singo Maza huwa na visanga, nimedate nao wa3 (mahusiano zaidi ya miezi 6) ila katika hao watatu sababu kuu ya kuachana nao ni ""Kuendeleza mahusiano na baby daddy zao, Tena mpaka wakanyanduana""
Kwanini sasa wanakuwa hivyo???

#YNWA
wewe ndio una matatizo. Pole mkuu
 
Sio huyo tu wapo wengi zaidi yake. Maisha ya leo si wanawake wala wanaume ni vurugu tu. Unaoa ama kuolewa na mtu kumbe mwenzako anamuwaza baby wake wa zamani. Ndio mana hata ndoa hazidumu wengi wanaishi na watu wasio machaguo yao.

Alafu tabia mbaya kudanganya mtu utamuoa ndio mana mnarogwa [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Uko sahihi kwa upande fulani.

Ila mwanamke akishazalishwa kumbuka yule baba wa mtoto ni sehemu ya maisha yake

Hapo ndipo mambo huanza kuvurugika
 
Omba Mungu upate mwanamke anaejitambua, mwanamke mwenye msimamo. Kama ni ishu ya kurudi kwa maex mbona hata hao wasiozaa wapo wenye tabia hizo. Mwanamke mmoja unakuta kawapanga kama mafungu ya viazi huyu nae unamzungumziaje?
Umalaya upo kwa wasiozaa na waliozaa ila WAZAZI KUACHANA dah ni ngumu sanaaa..!!!
Na hapo Kuendeleza mahusiano ndio kunasababisha wanyanduane.

#YNWA
 
Alafu tabia mbaya kudanganya mtu utamuoa ndio mana mnarogwa
Huwa inanipunguzia gharama wanawake wengine wakishajua una future naye wanakuwa wanajitahidi wasikukwaze hata vizinga vinakuwa si kivile na wanajituma kitandani maana anajua future husband ake

Wanawake wengi siku hizi mmekuwa washirikina mnaturoga sana kwa sababu ya kutaka kuolewa.
 
Ee sasa na wewe unamuahidi tena utamuoa na kumbe huna mpango ndio kurogwa kutabadilika badala akuroge umuoe atakuroga dushe lihamie usoni [emoji23][emoji23][emoji23] shauri zenu
 
Unaoa ama kuolewa na mtu kumbe mwenzako anamuwaza baby wake wa zamani. Ndio mana hata ndoa hazidumu wengi wanaishi na watu wasio machaguo yao.
Uko sahihi

Mkishaanza kukosana kidogo kitu ambacho hakizuiliki kwenye ndoa yoyote anaanza kumkumbuka ex wake
 
Yaan mnaweza hata msigombane ila basi tu si hana upendo wa dhati na wewe kama ilivyo kwa yule mwngne hivyo uanze kujihesabia maumivu muda wowote.
Huu ukweli mchungu. Wengi wanaoa au wanaolewa na watu ambao hawakuwa chaguo lao la kwanza

Kuna manzi ana 30+ naye nimemdanganya nitamuoa. Nikiangalia naona kabisa hajanipenda ni umri tu ndio unafanya akomae na mimi nimuoe
 
Natumaini nyote mu wazima wa afya.

Kama wanaume tunavyo fahamu wazi kabisa mke wa mtu ni sumu vivyo hivyo hawa single mother ni sumu kali kabisa.

Single mother yeyote yule ni mke wa mwanaume mwezako tena rijali kama wewe, kitendo cha kushupaza shingo na kumuoa single mother hakina tofauti na kuingia kwenye boma la mwanaume mwezako kinyume na maadili na kuchukua mke wake kwa lengo la kumuoa kwa mara ya pili.

Kuoa single mother na kujipiga kifua kuwa umepata mke ni dhambi isiyo sameheka na hakika utalipia wewe mwenyewe mwanaume kabla hujaondoka katika ulimwengu huu.

Kumbuka familia huundwa na baba ,mama na watoto, hivyo kitendo cha kuoa single mother (mke wa mtu) ni kuvuruga familia ya mwezako na kusababisa mtafaruku mkubwa kwenye maisha yako na familia ya mwanaume mwezako.

Wanaume wenzangu acheni ulimbukeni, single mother wote hao watoto walio nao wana baba zao , na kitendo cha kua mama na baba ni familia imara isiyo vunjika ambayo ina bond ya watoto.

Nakila familia siku zote inautawala ( mnaweza mkaishi pamoja, mkazaa, au kila mtu akawa kivyake vyake huku mkijijua nyie ni mke na mume na ni baba na mama na mnawatoto wenu),

wewe mwanaume kitendo cha kuona mwanamke ni single mother jua wazi kabisa ndiyo namna walivyo amua yeye na mume wake kuishi hivyo na familia yao iwe hivyo. Fahamu kabisa kichwani mwako kuoa single mother ipo siku mwanaume wake atarudi tuu na atamuhudumia kimwili mkewe na wewe ndipo utakapo anza kutumikia dhambi yako ya kuoa mke wa mtu.

Acheni kuoa wake wa wanaume wezenu na kuvuruga familia zao na utaratibu wao waliojiwekea , tafuta mwanamke wako smart mwenyewe na ujenge nae familia kama alivyofanya mwanaume mwezako.

MKE WA MTU NI SUMU, SINGLE MOTHER NI MKE WA MTU.

KATAA SINGLE MOTHER KATAA MKE WA MTU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…