Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahahaPunguzen kuwajudge singo mamaz, nyie wenyewe mna matatizo lukuki msijikute malaika. Kama hamtaki mahusiano nao pigeni kimya hamna mtu anawalazimisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaPunguzen kuwajudge singo mamaz, nyie wenyewe mna matatizo lukuki msijikute malaika. Kama hamtaki mahusiano nao pigeni kimya hamna mtu anawalazimisha
Omba Mungu upate mwanamke anaejitambua, mwanamke mwenye msimamo. Kama ni ishu ya kurudi kwa maex mbona hata hao wasiozaa wapo wenye tabia hizo. Mwanamke mmoja unakuta kawapanga kama mafungu ya viazi huyu nae unamzungumziaje?Kwanini sasa singo Maza huwa na visanga, nimedate nao wa3 (mahusiano zaidi ya miezi 6) ila katika hao watatu sababu kuu ya kuachana nao ni ""Kuendeleza mahusiano na baby daddy zao, Tena mpaka wakanyanduana""
Kwanini sasa wanakuwa hivyo???
#YNWA
Rafikii, mambo?Hahahahaha
wewe ndio una matatizo. Pole mkuuKwanini sasa singo Maza huwa na visanga, nimedate nao wa3 (mahusiano zaidi ya miezi 6) ila katika hao watatu sababu kuu ya kuachana nao ni ""Kuendeleza mahusiano na baby daddy zao, Tena mpaka wakanyanduana""
Kwanini sasa wanakuwa hivyo???
#YNWA
Sio huyo tu wapo wengi zaidi yake. Maisha ya leo si wanawake wala wanaume ni vurugu tu. Unaoa ama kuolewa na mtu kumbe mwenzako anamuwaza baby wake wa zamani. Ndio mana hata ndoa hazidumu wengi wanaishi na watu wasio machaguo yao.Kuna manzi nilimdanganya tutafunga ndoa sasa siku moja wakati tunasubiri round ya tatu kunako 6×6 tukaaza vistori vya hapa na pale
Akawa ananisimulia jinsi alivyoumia ex wake wa zamani alipomuoa mdada mwingine. Anasema yule mwanamume alimliza sana haijawahi kutokea katika maisha yake
Moyoni nikajiambia atakayemuoa huyu ni hasara kihalisi inaonekana moyo wake uko kwa yule ex na ni rahisi kupasha kiporo
Uko sahihi kwa upande fulani.Mwanaume alie komaa katika maisha huwezi kuta mlalamishi ( mwenye malalamiko ya hovyo hovyo kuhusu wana waita single mother ). Mwanamke alie zaa hana tatizo na hatuwezi hitimisha single mother hawafai huku kila mtu ana story ya maisha yake.... na kisa chake kilichofanya awe alivyo.. Wanaume tusifanye hawa wadada wakawa wanyonge tuwape moyo mkuu.. kila mwanadamu hukosea kwa sehemu na kila mwanadamu ana nafasi ya kurekebisha
Yaani mtu kuamua kumpa mtu kumer matatizo ni yangu?wewe ndio una matatizo. Pole mkuu
Umalaya upo kwa wasiozaa na waliozaa ila WAZAZI KUACHANA dah ni ngumu sanaaa..!!!Omba Mungu upate mwanamke anaejitambua, mwanamke mwenye msimamo. Kama ni ishu ya kurudi kwa maex mbona hata hao wasiozaa wapo wenye tabia hizo. Mwanamke mmoja unakuta kawapanga kama mafungu ya viazi huyu nae unamzungumziaje?
Huwa inanipunguzia gharama wanawake wengine wakishajua una future naye wanakuwa wanajitahidi wasikukwaze hata vizinga vinakuwa si kivile na wanajituma kitandani maana anajua future husband akeAlafu tabia mbaya kudanganya mtu utamuoa ndio mana mnarogwa
Ee sasa na wewe unamuahidi tena utamuoa na kumbe huna mpango ndio kurogwa kutabadilika badala akuroge umuoe atakuroga dushe lihamie usoni [emoji23][emoji23][emoji23] shauri zenuHuwa inanipunguzia gharama wanawake wengine wakishajua una future naye wanakuwa wanajitahidi wasikukwaze hata vizinga vinakuwa si kivile na wanajituma kitandani maana anajua future husband ake
Wanawake wengi siku hizi mmekuwa washirikina mnaturoga sana kwa sababu ya kutaka kuolewa.
Uko sahihiUnaoa ama kuolewa na mtu kumbe mwenzako anamuwaza baby wake wa zamani. Ndio mana hata ndoa hazidumu wengi wanaishi na watu wasio machaguo yao.
Prof Jay aliwahi kuimba "uchawi hauendi kwa mentali" 😅Ee sasa na wewe unamuahidi tena utamuoa na kumbe huna mpango ndio kurogwa kutabadilika badala akuroge umuoe atakuroga dushe lihamie usoni![]()
shauri zenu![]()
[emoji2][emoji2][emoji2]Prof Jay aliwahi kuimba "uchawi haundi kwa mentali" [emoji28]
Habari ndo hiyo 😊[emoji2][emoji2][emoji2]
Yaan mnaweza hata msigombane ila basi tu si hana upendo wa dhati na wewe kama ilivyo kwa yule mwngne hivyo uanze kujihesabia maumivu muda wowote.Uko sahihi
Mkishaanza kukosana kidogo kitu ambacho hakizuiliki kwenye ndoa yoyote anaanza kumkumbuka ex wake
Huu ukweli mchungu. Wengi wanaoa au wanaolewa na watu ambao hawakuwa chaguo lao la kwanzaYaan mnaweza hata msigombane ila basi tu si hana upendo wa dhati na wewe kama ilivyo kwa yule mwngne hivyo uanze kujihesabia maumivu muda wowote.