Huu ukweli mchungu. Wengi wanaoa au wanaolewa na watu ambao hawakuwa chaguo lao la kwanza

Kuna manzi ana 30+ naye nimemdanganya nitamuoa. Nikiangalia naona kabisa hajanipenda ni umri tu ndio unafanya akomae na mimi nimuoe
Aisee kazi ipo.
 
Aisee hawa wanawake bwana wee nikusubiria tuu wakigika 30+ yaani unawaonea huruma wanavyo hangaika kupata mume. 🤣🤣🤣🤣🤣

Hapa ndio uanaume unapokuwa mtamu...as u age ndio unapanda thamani while kwa mwanamke ni the reverse🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakifika umri huo wanahangaika kutafuta wanaume ni kujilia

Mzeiya sasa hivi hayo ndio makoloni yangu najiweka sana kwa hawa wa 30+ inalipa sana 🤣🤣🤣

Unawala mpaka unawaonea huruma maana huwa wanajishusha sana yaani anaogopa asipokupea utaenda kwa vibinti, simu moja mbususu hii hapa 🤣🤣🤣
 
Kitu kingine.
Single mazas wakiolewa na MTU ambaye hajazaa na mwanamke mwingine wanakuwaga na wivu Sana. Lakini wao wanamawasiliano ya Siri na waliowazalisha.
Kingine wanapenda Sana kuwalisha waume zao kimbwata.
100%
 
Kwakweli ni masikitiko makubwa mno kwa kijana atakaemuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…