Mkuu unajua kutofautisha kati ya single mother na mjane..?

Tuanzie kwanza hapa
 
Ndo maana hupati mke unapenda kulalamika sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe ndiye muoga na mjinga. Huwezi ukawa na akili ukaoa single mother.

Mwanaume mwenye akili anaoa mwanamke smart au mjane

Mkuu maandiko matakatifu yamekataza kuoa hata huyo mjane!
 
Mkuu unajua kutofautisha kati ya single mother na mjane..?

Tuanzie kwanza hapa
Mjane kama ana watoto ni single mother pia!! Single mother ni mama anayelea watoto peke yake bila kuwa na mwenzi. Kuna sababu zaidi ya moja inayoweza kumfanya mama alee watoto peke yake bila kuwa na mwenza, kifo cha mume ni moja ya sababu!! Mjane kama hana watoto atabaki kuwa mjane bila kuwa single mother. Lakini kama mjane akiwa na watoto anakuwa na sifa za kuwa mjane na pia kuwa single mother!! As simple as that!!
 
Hana pa kwenda jamani.huruma.πŸ˜”
 
Kuna kitu hamsemi kuhusu hawa single mother ila itajulikana tu. Haiwezekani wawatese hivi. Wenyewe wapo kimya kama hawapo.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,kwa kifupi tusichoshane!.


Hii kauli inapaswa iendane na matendo yenu,siyo matendo yenu muyaache Km zaidi ya 50 halafu kauli zenu zikiwa zimetangulia mbele.

Msipobadirika niwahakikishie hili suala la kuitwa Singo Maza halitokaa liishe na tutaendelea kulipigia kelele na kuwacharua hadi mvute midomo kama sukununu!.

Haiwezekani ukawa mwanamke wa kuwavulia chupi kila wanaume halafu mwisho wa siku uitwe Singo Maza Uchukie!,Sidhani kama utakuwa na akili timamu sawasawa!.

Mengine yakishapewa vihela vya bia kidogo yanadhani huyo ndiye mwanaume kumbe naye ametega ndoano zake anase samaki akafanye kitoweo,bila kujiuliza na wewe unanasa mzima mzima halafu leo unakuja kutia huruma hapa.

Hatuwezi kuwa na jamii ya mijianamke ambayo imezoea kuvua vua chupi ovyo kwa kila mwanaume halafu tusiyaseme!

MWANAMKE KUITWA SINGO MAZA SI KWASABABU YA UJANJA WA WANAUME BALI NI UJINGA WA MWANAMKE MWENYEWE!.

NIPO HAPA MBEZI INN MTAA WA KISIGA HOUSE NO_ 68,NJOONI MNIUE WAPUUZI NYIE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…