General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Hii Campaign imenukuta baada ya kunasa kwenye mtego nlio kaa miaka 10Yote Ni ubatili kataa Ndoa kaa single
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Campaign imenukuta baada ya kunasa kwenye mtego nlio kaa miaka 10Yote Ni ubatili kataa Ndoa kaa single
😁😁😁Hii Campaign imenukuta baada ya kunasa kwenye mtego nlio kaa miaka 10
Maisha yangerudi nyuma na hisi ningekuwa mwenyekiti ama muweka hazina wa hiki chama dadekiii.
Mkuu unajua kutofautisha kati ya single mother na mjane..?Leo nawatetea single mothers!! Kuna sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kuwa single mother. Kuna kufiwa na mume, kuna kupata mimba na baba asijulikane, kuna waliokataliwa na wababa watoto kudai wanawasingizia! Siyo lazima awe mke wa mtu!! Acheni kuwarushia njiwa wao!! Halafu kuna wengine ni wadogo sana hata miaka 20 hawajafikisha, wanastahili kabisa kuolewa!! Hatya wale wenye umri mkubwa zaidin ya 30 -45yrs bado wanaweza kupata wanaume wao wazuri!! Single mothers msikate tamaa!! mtaolewa tu tena na vijana kabisa!!
Utaona ni utoto ila kadiri unavyokua utakuja kusadikiChildish comment
Wewe ndiye muoga na mjinga. Huwezi ukawa na akili ukaoa single mother.
Mwanaume mwenye akili anaoa mwanamke smart au mjane
Mjane kama ana watoto ni single mother pia!! Single mother ni mama anayelea watoto peke yake bila kuwa na mwenzi. Kuna sababu zaidi ya moja inayoweza kumfanya mama alee watoto peke yake bila kuwa na mwenza, kifo cha mume ni moja ya sababu!! Mjane kama hana watoto atabaki kuwa mjane bila kuwa single mother. Lakini kama mjane akiwa na watoto anakuwa na sifa za kuwa mjane na pia kuwa single mother!! As simple as that!!Mkuu unajua kutofautisha kati ya single mother na mjane..?
Tuanzie kwanza hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nau deiz wanaume wamekua wakulia zaidi ya dada zao....[emoji1787]
Hana pa kwenda jamani.huruma.😔Nakubaliana na wewe 100%
Nina Mkewangu nilizinguana nae kisa tabia zake tukaachana akiwa na mtoto mmoja nimezaa nae wakiume.
Basi kila akija kumtembelea mtoto lazima ni mlee ndo aondoke.
Yaani namkunja kwa njaa kweli kweli.
Na kajenga utamaduni wa kulana kila mwezi mara moja.
Na asaivi kaniaidi atanizalia mwingine akiwa ndani ya ndoa yake.
NakaziaKuoa single mother ni Sawa na kula BIG G iliyotemwa na mwingine.
Kwanini...???Hana pa kwenda jamani.huruma.😔