TUNAPASWA KUWEKA MABANGO MAKUBWA SANA PALE TEMEKE NJIA YA KUSINI,PALE KIBAHA NA BAGAMOYO

"KATAA KUOA SINGO MAZA" ILI VIJANA WAJITAMBUE NA WAJIFUNZE
SURE MKUU

SINGO MAZA ANAPASWA KUOLEWA NA ALIYEMZALISHA
 
mwamba ndio huyu hapa sasa, umughaka mwenyewe, nilimuwaza leo nikiingia jf mbona simsikii....aisee naomba uje na stori ya single mother moja
 
Me nawatetea wanawake katika yote kasoro hiliπŸ˜‚. For real yani mtu utasemaje umebeba mimba kwa bahati mbaya karne ya 21 hii?
 
Mama yangu alishaniambia usithubutu kuoa singo maza

Hata kama angekuruhusu, bado tunawasihi mabinti watulie majumbani mwao,kama wameshindwa kuolewa wakiwa Bikra basi wajirahidi wasizae Kabla ya Ndoa.
Waolewe ndipo wazae. Hiyo ndio heshima.
Sasa kama MTU hataki heshima akachagua kudharauliwa alafu Watu wakianza kumdharau (kumkejeli na kukudhihaki) atamlaumu Nani?
 
mwamba ndio huyu hapa sasa, umughaka mwenyewe, nilimuwaza leo nikiingia jf mbona simsikii....aisee naomba uje na stori ya single mother moja
Mkuu kuna bonge la simulizi sema kama nawaza namna ya kulisimulia,linahusu jamaa mmoja shoga alikuwa akinitongoza

Aisee
 
Tumekuelewa kaka robati tutatulia majumbani πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni Kweli mambo yamebadilika
 
Me nawatetea wanawake katika yote kasoro hiliπŸ˜‚. For real yani mtu utasemaje umebeba mimba kwa bahati mbaya karne ya 21 hii?

Unambebaje mimba bila ridhaa ya mwanaume kisa mliamua kulala pamoja, hayo ndio mapatano? Makubaliano yenu yako wapi(mkataba) kama hamna ndoa, yawepo maandishi Kabisa kwamba, bhana wee, tunafanya ikitokea mimba mtoto utalea au utanioa hata MKE wa pili.
Sahihi ya mwanaume kadaa, Sahihi ya Mwanamke kadaa.
Kisha mnaanza chukuchuku zenu
 
Sasa hiyo Mithali nafkiri ifanyiwe tathmini irekebishwe...sasa mtu azini na mwanaume au mwanamke asiwe na akili, aende akazini na Mbwa au komba?! πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Mambo ya waLawi 18:23
Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko.
 
Ifike mahali iwe aibu Kwa mwanaume..kuona mwanamke uliemzalisha anahangaika......

Tusisahau mwanamke uliemzalisha ni mama WA mtoto wako...
Anae dhalilika ni mama WA mwanao...
Wengi wanafurahia mahangaiko Yao mwanamke kubeba mimbayako Inatosha kabisa kumheshimu anaharibika mwili anapoteza mvuto,mwingine anakuwa mgonjwa wapo wanaooteza maisha kwaajili ya kuwalet watoto duniani sisemi kuwa single mama ni Bora sio sawa kuwakejelj na kuwakashfu
 
Leo Niko ofsn kuna kabint kamekuja kana mimba namuuliza vipi tena et kananijibu nimeamua tu niwe Na mtoto una malengo gani hakuna jibu nikakafukuzia mbali stak watu wapuuz
 
Tumekuelewa kaka robati tutatulia majumbani πŸ˜€πŸ˜€

πŸ˜€πŸ˜€

Mkiamua kufanya uovu basi kuweni werevu basi kama lusifa mwenyewe.

Sasa unakuwa mzinzi, unajua kabisa kwenye uzinzi kuna ukimwi, na mimba. Unashindwa Kutumia Kondomu au Uzazi wa Mpango?

Dada zangu acheni Kutumia Hisia kwenye mambo yanayogusa utu, thamani na heshima zenu. Wasikilizeni wakubwa wenu.

Yaani mnasikiliza kijana mwenye nyege zake ATI ndio unamuamini kabisa?

Mimi nasema, Binti zangu yakiwa majinga(yakimkaidi na kumdharau Mungu) nayo lazima yatadharaulika na kukejeliwa na kudhihakiwa.

Ninachoomba ni kuwa yawe na Akili ya kukumbuka kuomba toba na kujirejesha Kwa Mungu wao. Lakini yakiri kabisa tulikosea na watu na jamii inayohaki kutuhukumu, Ila tunaomba itusamehe.

Na sio kuzuia Watu wasiwakejeli. Hilo kamwe halitowezekana
 
Me nawatetea wanawake katika yote kasoro hiliπŸ˜‚. For real yani mtu utasemaje umebeba mimba kwa bahati mbaya karne ya 21 hii?
Haiwezekani mkuu

Hata mimi huwa nawatetea katika yote lakini hili hapana kwa kweli!
 
Leo Niko ofsn kuna kabint kamekuja kana mimba namuuliza vipi tena et kananijibu nimeamua tu niwe Na mtoto una malengo gani hakuna jibu nikakafukuzia mbali stak watu wapuuz
Ubarikiwe mkuu

Hata Mungu anapenda watu majasiri kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…