Hapana single mother wote wanawasiliana na Baba mtoto.
Nazumzia Baba mtoto asiye kimbia mwanae. Sema awezi ongembele ya mume wake.
Wapo ambao hawawezi kuongea na wazazi wenza.

Mimi ni mmojawapo. Tangu nigundue mama wa mwanangu wa anamilikiwa na njemba, nilikata mawasiliano mazima. Hanitafuti wala simtafuti. Taarifa za mtoto zote ananipa mwanangu mwenyewe.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Hahah thread imetembea kama mkojo
 
Chuki binafsi.
Wapo ma singo maza wenye weledi. Ila hapo kwenye soda isiyokua na kizibo?
Kwani wote wanaoolewa Leo wanavizibo?
Kosa la singo maza Ni kwamba Kuna ushahidi kwamba kizibo hakipo.
 
Chuki binafsi.
Wapo ma singo maza wenye weledi. Ila hapo kwenye soda isiyokua na kizibo?
Kwani wote wanaoolewa Leo wanavizibo?
Kosa la singo maza Ni kwamba Kuna ushahidi kwamba kizibo hakipo.
Sawa kalee bao la mwanaume mwenzako 😂😂
 
Nyie ndio Mlikulana kwa sababu ya nyege wala hamkuwa na mapenzi kati yenu......Mbwa alikula mbwa mwenzie😅😅
 
Pole sana ndugu endelea tu kuvumilia Haina jinsi.
 
Huu nao ni Ukweli sometimes
 
Watu wasizae wakusubirie weww uwaoe sio.mume mwwnyewe utakuwa wewe??
Wana upwiru huko morogoro, yeye yuko mwanza na hawamfahamu asome pia kuhusu human evolution

Hakafu atambue kwanba wavulana ndiyo wana washawishi wasichana wawachimbe migodi tena bila kuvaa kandambili
 
Kuoa single Maza Kuna uwezekano mkubwa mwanamke huyo kukuona wewe ni dhaifu ndio mana umemfuata yeye Wanawake sio wakushukuru tambua hilo ila kila mtu kwenye maisha na mipango yao
 
Swali la msingi ni wewe ikawaje hadi ufikie hatua ya kusubiria ina maana hautongozwi huko barabarani? Wanawake mnaviburi sana ila safari hii mtanyooka tu. Maana kazi mnayo.
 
Kama hujaoa bikra mkeo unapata wapi nguvu za kuwasema single mothers? Unaweza kuta bora huyo singo Maza kuliko huyo umemkuta hana mtoto lakini katoa mimba 3+....we unadhani ni mpya kumbe kamwaga damu zinamlilia.............
 
Zingatia ushauri.......Usioe single Maza ni hatari kwa afya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…