Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Watu wasizae wakusubirie weww uwaoe sio.mume mwwnyewe utakuwa wewe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwenye suala la mahusiano lazima uangalie aina ya mwanaume wa kuzaa nae sio tu unazaazaa ovyo ovyo Ndio matokeo yake mnakutana na wapita njia mnazalishwa alafu mnaachwaWatu wasizae wakusubirie weww uwaoe sio.mume mwwnyewe utakuwa wewe??
Wapo ambao hawawezi kuongea na wazazi wenza.Hapana single mother wote wanawasiliana na Baba mtoto.
Nazumzia Baba mtoto asiye kimbia mwanae. Sema awezi ongembele ya mume wake.
JichanganyeSio kosa mwanaume kuoa single mom....tatizo akili zenu zafikiria bikira tu....sifa kubwa za mwanamke ni kuwa na upendo wa dhati,mwenye tabia njema,mwenye huruma,mchamungu,mwenye busara...sasa kama mwanamke single mom anazo hizo kwanini nisimuoe? DONT JUDGE A BOOK BY ITS COVERS
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah thread imetembea kama mkojoUnatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?
Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.
Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.
Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao
WITO: raha ya soda ukute haijaonjwa
********** Mwenye mtazamo sawa na mwanzisha mada*********
Ushauri kwa waliooa Single Mothers
********** Mama yake amemkata asioe single Mother**********
********** Madhara ya mtoto wa kiume kulelewa na Single Mother**********
******** Kauli zilizowauzi waliokuwa kwenye mahusiano na Single Mothers**********
HahaWatu wasizae wakusubirie weww uwaoe sio.mume mwwnyewe utakuwa wewe??
Bora hayo Mabao siyaoni kama ww uneyelea mtoto huku ukijua unalea bao la mwanaume mwenzako na ukiamka asubh unasalimiwa Shikamo Baba 😂😂Kuoa msichana ambae ameshachoropoa mimba zaidi ya 6 bila kujijua ni sawa na kulala na single mother muuaji kitanda kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kalee bao la mwanaume mwenzako 😂😂Chuki binafsi.
Wapo ma singo maza wenye weledi. Ila hapo kwenye soda isiyokua na kizibo?
Kwani wote wanaoolewa Leo wanavizibo?
Kosa la singo maza Ni kwamba Kuna ushahidi kwamba kizibo hakipo.
Wapo ambao hawawezi kuongea na wazazi wenza.
Mimi ni mmojawapo. Tangu nigundue mama wa mwanangu wa anamilikiwa na njemba, nilikata mawasiliano mazima. Hanitafuti wala simtafuti. Taarifa za mtoto zote ananipa mwanangu mwenyewe.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Pole sana ndugu endelea tu kuvumilia Haina jinsi.Kila mtu na mtazamo wake hakuna kupangiana kama wewe hutaki single mother kausha tuache tulioamua kuwa na single moms tuendelee. Mnawasema vibaya single moms na mnaoa unaosema hawajatumika kuchwa kutwa kugombana kuwa hajatulia. Mtu kuwa single mother siyo kipimo cha kuwa ametumika sana hata hao ambao unawaona hawajazaa wengi wametoa mimba zaidi ya moja. HUWAPENDI SINGLE MOTHER KAUSHA WANAOWAPENDA WATAKUWA NAO.
Huu nao ni Ukweli sometimesKila mtu na mtazamo wake hakuna kupangiana kama wewe hutaki single mother kausha tuache tulioamua kuwa na single moms tuendelee. Mnawasema vibaya single moms na mnaoa unaosema hawajatumika kuchwa kutwa kugombana kuwa hajatulia. Mtu kuwa single mother siyo kipimo cha kuwa ametumika sana hata hao ambao unawaona hawajazaa wengi wametoa mimba zaidi ya moja. HUWAPENDI SINGLE MOTHER KAUSHA WANAOWAPENDA WATAKUWA NAO.
Wana upwiru huko morogoro, yeye yuko mwanza na hawamfahamu asome pia kuhusu human evolutionWatu wasizae wakusubirie weww uwaoe sio.mume mwwnyewe utakuwa wewe??
Kuoa single Maza Kuna uwezekano mkubwa mwanamke huyo kukuona wewe ni dhaifu ndio mana umemfuata yeye Wanawake sio wakushukuru tambua hilo ila kila mtu kwenye maisha na mipango yaoKila mtu na mtazamo wake hakuna kupangiana kama wewe hutaki single mother kausha tuache tulioamua kuwa na single moms tuendelee. Mnawasema vibaya single moms na mnaoa unaosema hawajatumika kuchwa kutwa kugombana kuwa hajatulia. Mtu kuwa single mother siyo kipimo cha kuwa ametumika sana hata hao ambao unawaona hawajazaa wengi wametoa mimba zaidi ya moja. HUWAPENDI SINGLE MOTHER KAUSHA WANAOWAPENDA WATAKUWA NAO.
Zingatia ushauri.......Usioe single Maza ni hatari kwa afya yako.Kama hujaoa bikra mkeo unapata wapi nguvu za kuwasema single mothers? Unaweza kuta bora huyo singo Maza kuliko huyo umemkuta hana mtoto lakini katoa mimba 3+....we unadhani ni mpya kumbe kamwaga damu zinamlilia.............