Mkuu mimi binafsi naona watoto ni taasisi muhimu sana tusiwalete kimazoea zoea tu hapa dunia
Children are the Future they are the Future
Sasa hawezi kuwa future Kama mama anamlea peke yake.
Braza
Wewe kwa madini haya unayo tema unaweza kuwa hata baba wa kambo kwa watoto wa joyce kiria
Wako watatu nadhani [emoji1]

Ukiona watu wana zaa hovyo hvyo jua jamii haina muelekeo sahihi.
 
Nyie kimtaani kwetu tunawaitaga viazi unafikiri sawa na urefu wa kitanda chako
Hayo si maadili ya mtanzania katika kabila lolote kuoa mwanamke alozalishwa.
 
ndo hivyo, pia wakati mwingine wadada wanakosa uvumilivu tu bure.

Ila hawa wadaa wangekuwa wajanja mbona mtu ambae hana mpango na ww unamjua tu...unamywea vidonge hata akishoot ndani inakuwa kazi bure,
 
Nimepata fursa ya kuwasikiliza vijana wenzangu kadhaa, jinsi walivyopata watoto wengi wao wanakwambia wao walikuwa wanawaza kwamba wana hang out tu na mabinti na sio wapate watoto.
 
Braza
Wewe kwa madini haya unayo tema unaweza kuwa hata baba wa kambo kwa watoto wa joyce kiria
Wako watatu nadhani [emoji1]

Ukiona watu wana zaa hovyo hvyo jua jamii haina muelekeo sahihi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti Joyce kiria
 
Umenichangamsha kweli kwa kuwa uko ivo imebidi niendane na speed yako ya ucheshi na uchangamfu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahaa. Usijali Mkuu hiyo ndio sifa Kuu ya Hajar.

We ukimuona sehemu kama unaweza kumquote mquote tu hana shida kabisa yaani. Mpaka uchangamke. Teh teh.

Itabidi nikukariri sasa ili niwe nazidi kukuchangamsha Kaka. Lol
 
ndo hivyo, pia wakati mwingine wadada wanakosa uvumilivu tu bure.

Ila hawa wadaa wangekuwa wajanja mbona mtu ambae hana mpango na ww unamjua tu...unamywea vidonge hata akishoot ndani inakuwa kazi bure,
Kabisa mkuu ni rahisi sana kumshtukia mtu ambae hana mpango na yeye
Tatizo lao lingine hawapendi kujifanyia tasmini ya maisha yao ya mahusiano
 
Nyie kimtaani kwetu tunawaitaga viazi unafikiri sawa na urefu wa kitanda chako
Hayo si maadili ya mtanzania katika kabila lolote kuoa mwanamke alozalishwa.
Kumbe kuniquote kote kule kwa sababu uko upande huu. Lol.

Pole sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iceman 3D yaani unakuwa unawaza sana
Nawaza braza kwakuwa pamoja na kuwa yule mtoto ntamlea lakini kuna sku itabid wakutane wapange mipango ya mtoto wao. Wampeleke skull, watoke naye out waka barizi [emoji1]. Eeh maana mtoto anahitaji mapenzi ya wazaz wote wawili ikiwa tu wako hai.
Sasa usalama wa moyo wangu utakuwa wap hapo?
 
Hahahaa. Usijali Mkuu hiyo ndio sifa ya Hajar.

We ukimuona sehemu kama unaweza kumquote mquote tu hana shida kabisa yaani. Mpaka uchangamke. Teh teh.

Itabidi nikukariri sasa ili niwe nazidi kukuchangamsha Kaka. Lol
Hahahaha!, Daaaah!! Weee kiboko uko mule mule!![emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
ndo hivyo, pia wakati mwingine wadada wanakosa uvumilivu tu bure.

Ila hawa wadaa wangekuwa wajanja mbona mtu ambae hana mpango na ww unamjua tu...unamywea vidonge hata akishoot ndani inakuwa kazi bure,
Eeeh jutu la kupita unalijua kabsaa, sasa lazima uwe na silaha za kujilinda. Ila wenzetu hawasikii halaf ukiwapa lawama wanahisi una waonea
 
Unapiga moyo konde tu braza
Lakini hapo commitment ya mwanamke ndio inatakiwa yeye anatakiwa a dedicate maisha yake kwako sio baba mtoto kagusia tukumbushie zamani basi yeye kajaa tu.
 
Mkuu pia nawashangaa sana hawa watu kwa kweli .

Mtu amezalishwa huko wewe unabeba pasipo kujiuliza hata kidogo.
Tatizo elimu zao ni za ukalili zaidi kuliko uelewa hilo swala hata kidini yoyote ni NO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…