Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaa. Sawa Mkuu.Hahahaha!!, Usijali Mkuu, mrejesho utapewa tu ila sio msimbe!![emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa. Sawa Mkuu.Hahahaha!!, Usijali Mkuu, mrejesho utapewa tu ila sio msimbe!![emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji23] [emoji23]
BrazaMkuu mimi binafsi naona watoto ni taasisi muhimu sana tusiwalete kimazoea zoea tu hapa dunia
Children are the Future they are the Future
Sasa hawezi kuwa future Kama mama anamlea peke yake.
Kabisa pasipo maturity huwezi kamwe.Eeeh
Braza mi mwenyewe najua hilo. Ila you need alot of maturity na uvumilivu
Nyie kimtaani kwetu tunawaitaga viazi unafikiri sawa na urefu wa kitanda chakoNonsense kabisa
Unayeoa hana mtoto jua:
1. Alishatoa mimba;
2. Na hivyo ashaua watoto kibao kupitia abortion. Hivyo unaoa criminal(mhalifu)
3. Haimaanishi kuwa ambaye hana mtoto yupo sealed. No! Ashakwanyuliwa.
Afadhari aliyezaa utajua anawatoto wangapi.
Ambaye hana lakini unakuta matiti yashakuwa madaso, mahala penyewe napo mpaka pashakuwa na masikio fulani ( nyama zinazoning'inia), yaani afadhari nioe mwenye mtoto.
ndo hivyo, pia wakati mwingine wadada wanakosa uvumilivu tu bure.Sasa we mwenyewe mwisho ume maliza, uzembe wa sista utafanya wewe uki burst in ka zygot katokee. Akiwa careful hiyo wewe hata ufanyaje huji kumpa mimba.
Nina ndugu yangu aliolewa akiwa na miaka 34, hakuwa na mtoto. Because she was carefull siyo kwakuwa hakuwahi kuwa na ma bf.
Mkuu mimi binafsi naona watoto ni taasisi muhimu sana tusiwalete kimazoea zoea tu hapa dunia
Children are the Future they are the Future
Sasa hawezi kuwa future Kama mama anamlea peke yake.
Nimepata fursa ya kuwasikiliza vijana wenzangu kadhaa, jinsi walivyopata watoto wengi wao wanakwambia wao walikuwa wanawaza kwamba wana hang out tu na mabinti na sio wapate watoto.Sasa we mwenyewe mwisho ume maliza, uzembe wa sista utafanya wewe uki burst in ka zygot katokee. Akiwa careful hiyo wewe hata ufanyaje huji kumpa mimba.
Nina ndugu yangu aliolewa akiwa na miaka 34, hakuwa na mtoto. Because she was carefull siyo kwakuwa hakuwahi kuwa na ma bf.
Umenichangamsha kweli kwa kuwa uko ivo imebidi niendane na speed yako ya ucheshi na uchangamfu[emoji120] [emoji120] [emoji120]Hahahaa. Sawa Mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Braza
Wewe kwa madini haya unayo tema unaweza kuwa hata baba wa kambo kwa watoto wa joyce kiria
Wako watatu nadhani [emoji1]
Ukiona watu wana zaa hovyo hvyo jua jamii haina muelekeo sahihi.
Hahahaa. Usijali Mkuu hiyo ndio sifa Kuu ya Hajar.Umenichangamsha kweli kwa kuwa uko ivo imebidi niendane na speed yako ya ucheshi na uchangamfu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kabisa mkuu ni rahisi sana kumshtukia mtu ambae hana mpango na yeyendo hivyo, pia wakati mwingine wadada wanakosa uvumilivu tu bure.
Ila hawa wadaa wangekuwa wajanja mbona mtu ambae hana mpango na ww unamjua tu...unamywea vidonge hata akishoot ndani inakuwa kazi bure,
Kumbe kuniquote kote kule kwa sababu uko upande huu. Lol.Nyie kimtaani kwetu tunawaitaga viazi unafikiri sawa na urefu wa kitanda chako
Hayo si maadili ya mtanzania katika kabila lolote kuoa mwanamke alozalishwa.
Nawaza braza kwakuwa pamoja na kuwa yule mtoto ntamlea lakini kuna sku itabid wakutane wapange mipango ya mtoto wao. Wampeleke skull, watoke naye out waka barizi [emoji1]. Eeh maana mtoto anahitaji mapenzi ya wazaz wote wawili ikiwa tu wako hai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iceman 3D yaani unakuwa unawaza sana
Hahahaha!, Daaaah!! Weee kiboko uko mule mule!![emoji120] [emoji120] [emoji120]Hahahaa. Usijali Mkuu hiyo ndio sifa ya Hajar.
We ukimuona sehemu kama unaweza kumquote mquote tu hana shida kabisa yaani. Mpaka uchangamke. Teh teh.
Itabidi nikukariri sasa ili niwe nazidi kukuchangamsha Kaka. Lol
Nyie kimtaani kwetu tunawaitaga viazi unafikiri sawa na urefu wa kitanda chako
Hayo si maadili ya mtanzania katika kabila lolote kuoa mwanamke alozalishwa.
Eeeh jutu la kupita unalijua kabsaa, sasa lazima uwe na silaha za kujilinda. Ila wenzetu hawasikii halaf ukiwapa lawama wanahisi una waoneando hivyo, pia wakati mwingine wadada wanakosa uvumilivu tu bure.
Ila hawa wadaa wangekuwa wajanja mbona mtu ambae hana mpango na ww unamjua tu...unamywea vidonge hata akishoot ndani inakuwa kazi bure,
Unapiga moyo konde tu brazaNawaza braza kwakuwa pamoja na kuwa yule mtoto ntamlea lakini kuna sku itabid wakutane wapange mipango ya mtoto wao. Wampeleke skull, watoke naye out waka barizi [emoji1]. Eeh maana mtoto anahitaji mapenzi ya wazaz wote wawili ikiwa tu wako hai.
Sasa usalama wa moyo wangu utakuwa wap hapo?
Tatizo elimu zao ni za ukalili zaidi kuliko uelewa hilo swala hata kidini yoyote ni NOMkuu pia nawashangaa sana hawa watu kwa kweli .
Mtu amezalishwa huko wewe unabeba pasipo kujiuliza hata kidogo.